-
Wanawake wa Kialawi Syria wanatekwa nyara mchana kweupe chini ya utawala wa Tahrir al Sham
Jun 28, 2025 04:17Makumi ya wanawake wa jamii ya Waalawi wametekwa nyara nchini Syria tangu kundi la Hay'at Tahrir al Sham (HTS) lenye mfungamano na mtandao wa al Qaida lilipochukua madaraka mwezi Disemba mwaka jana.
-
Katibu Mkuu wa Hizbullah: Iran ndiye mshindi wa Vita vya Siku 12
Jun 28, 2025 02:49Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, Iran ndiye mshindi wa makabiliano baina yake na adui mzayuni.
-
Ben-Gvir awaruhusu walowezi wa Kizayuni kuimba na kudansi kwenye Msikiti wa Al-Aqsa
Jun 28, 2025 02:22Waziri maluuni wa mambo ya ndani wa utawala wa Kizayuni wa Israel Itamar Ben-Gvir ametoa ruhusa kwa walowezi haramu wa Kizayuni kuimba na kudansi kwenye eneo la Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Baitul-Muqaddas unaokaliwa kwa mabavu.
-
Hamas yaapa: Tutaendelea kuwaua wanajeshi wa Israel baada ya shambulizi la kuvizia kuwaua 7 huko Gaza
Jun 26, 2025 12:31Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeapa kuendelea kuwashambulia wanajeshi wa utawala wa Kizayuni baada ya shambulizi la kuvizia lilitotekelezwa na wanamuwawama wa harakati hiyo na kuangamiza wanajeshi saba kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Pakistani: Mapambano ya kijasiri ya Iran dhidi ya Israel ni ya kupongezwa
Jun 26, 2025 12:17Waziri Mkuu wa Pakistan apongeza mapambano ya Iran dhidi ya hujuma ya utawala wa Kizayuni.
-
Vyombo vya habari vya Kizayuni vyakiri kutokuwa na uwezo wa kukabiliana na Yemen
Jun 26, 2025 12:13Vyombo vya habari vya Kizayuni vilikiri kwamba utawala ghasibu wa Israel ni dhaifu sana na kwamba hauna habari na intelijensia ya kutosha kuhusu Yemen.
-
Wanajeshi 7 wa Israel waangamizwa Khan Yunis
Jun 25, 2025 05:32Wanajeshi wasiopungua 7 wa utawala haramu wa Israel wameangamizwa na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia shambulio la kuvizia la vikosi vya muqawama huko Khan Yunis kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Ansarullah: Tuko pamoja na Iran katika kukabiliana na Marekani na Israel
Jun 22, 2025 11:26Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetangaza kuwa, iko pamoja na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kukabiliana na uchokozi wa Marekani na utawala haramu wa Israel.
-
Baada ya kipigo kutoka Iran, sasa Wazayuni waomba msaada wa Marekani
Jun 15, 2025 04:29Utawala wa Kizayuni wa Israel umeitaka Marekani kujiunga na vita vyake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kile inachodai ni "kuondolewa" mpango wa nishati ya nyuklia wa Iran.
-
Yahya Saree: Tumelipiga kwa makombora eneo la Jaffa sambamba na mashambulizi ya Iran
Jun 15, 2025 04:28Msemaji wa Vikosi vya Ulinzi vya Yemen amesema kuwa, jana nchi yake ilifanya operesheni ya kijeshi ya mafanikio dhidi ya maeneo nyeti ya adui Mzayuni katika eneo linalokaliwa kwa mabavu la Jaffa, kwa kulipiga eneo hilo kwa makombora mawili.