-
Mufti wa Oman ataka Waislamu wote kuiunga mkono Iran
Jun 14, 2025 07:19Sheikh Ahmed bin Hamad al-Khalili, Mufti wa Oman amesema katika ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa X kwamba: "Tuna imani Mwenyezi Mungu atavipa ushindi Vikosi vya Uliinzi vya Iran."
-
Meya Mzayuni: Nimeona mengi, lakini mashambulizi yaliyofanywa na Iran sijawahi kuyaona
Jun 14, 2025 07:18Meya wa mji wa Kizayuni wa Rishon Letzion wa kusini mwa Tel Aviv ameeleza kupigwa mshangao na kushtushwa na kiwango kikubwa cha uharibifu uliosababishwa na mashambulizi ya makombora ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema: Sijawahi kuona uharibifu mkubwa kama huu.
-
HAMAS: Shambulio la Israel dhidi ya Iran ni kosa la kimkakati
Jun 13, 2025 22:53Msemaji wa Brigedi za Al-Qassam, tawi la kijeshi la harakati ya Hamas ametangaza mshikamano wake na Jamhuri ya Kiislamu katika kukabiliana na mashambulizi ya jana Ijumaa ya utawala wa Kizayuni.
-
Israel yaua Wapalestina 13 wenye kiu na njaa, yajeruhi zaidi ya 100
Jun 12, 2025 07:14Jeshi katili la Israel limefanya jinai nyingine dhidi ya raia wenye kiu na njaa waliokuwa wamekusanyika kupokea misaada ya kibinadamu katika eneo la Netzarim. Takwimu za awali zinaoenesha kuwa, Wapalestina 13 wameuawa shahidi na zaidi 100 wamejeruhiwa kwa mkupuo mmoja.
-
Sababu za kuendelea Muqawama wa Yemen licha ya uungaji mkono mkubwa wa Marekani na Magharibi kwa utawala wa Kizayuni
Jun 12, 2025 02:06Licha ya uungaji mkono mkubwa wa Marekani na nchi za Magharibi kwa utawala ghasibu wa Israel, lakini operesheni za wapiganaji wa muqawama wa Yemen katika Bahari Nyekundu na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu zingali zinaendelea.
-
Vyama vya upinzani Israel vyaafikiana kuvunja Bunge
Jun 11, 2025 22:41Kanali ya 13 ya televisheni ya Kiebrania imeripoti kwamba vyama vya upinzani Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu) zimeafikiana kuidhinisha pendekezo la kisheria kuhusu kuvunjwa Bunge la utawala wa Kizayuni (Knesset).
-
Kamisheni ya UN: Israel inafanya mauaji ya kimbari Gaza
Jun 11, 2025 03:49Tume huru ya Umoja wa Mataifa imeutuhumu utawala wa Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki kwa kuwashambulia raia wa Kipalestina wanaohifadhiwa katika shule na maeneo ya kidini huko Gaza.
-
Ansarullah kupanua wigo wa operesheni zake dhidi ya Israel
Jun 11, 2025 03:48Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetangaza kuwa itapanua wigo wa operesheni zake dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Israel yachanganyikiwa kwa kipigo cha kombora la vichwa kadhaa la Yemen
Jun 10, 2025 23:33Jeshi la Yemen limeyashambulia maeneo muhimu ya utawala wa Kizayuni na kuufanya mfumo wa kujilinda na mashambulizi ya makombora wa Israel uchanganyikiwe na kulazimika kufyatua takriban makombora 10 kukabiliana na kombora moja la Yemen.
-
Hali ya wananchi wa Gaza: Ima ufe kwa njaa au kwa risasi
Jun 10, 2025 08:34Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesisitiza kuwa, wakazi wa Ukanda wa Gaza hawapaswi kulazimishwa kuchagua kati ya kifo na kutafuta chakula.