-
FAO yabainisha hofu kuhusu kukaribia baa la njaa Gaza huku Israel ikiendeleza jinai
May 13, 2025 00:55Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) lilionya Jumatatu kuhusu janga la kibinadamu linalozidi kuongezeka katika Ukanda wa Gaza, likieleza hatari ya njaa inayokaribia, kuporomoka kwa sekta ya kilimo, na kuzuka kwa magonjwa hatari huku utawala dhalimu wa Israel ukiendeleza mzingiro na jinai katika eneo hilo la Wapalestina.
-
Israel yaendeleza ukatili Gaza, yaua shahidi Wapalestina wengine 33
May 12, 2025 08:30Wapalestina wasiopungua 33 wameuawa shahidi katika muda wa saa 24 zilizopita huko Gaza, maafisa wa afya katika eneo hilo lililo chini ya mzingiro wameripoti.
-
Hamas yakubali kumwachilia huru mateka Mmarekani-Muisraeli
May 12, 2025 02:21Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kuwa imekubali kumwachilia huru mateka Mmarekani-Muisraeli anayeshikiliwa huko Ghaza, baada ya kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani kuhusu kusitishwa mapigano katika ukanda wa Ghaza uliozingirwa kila upande na Wazayuni.
-
Wazayuni wahamaki baada ya Trump kukiri Wayemen ni mashujaa
May 12, 2025 02:18Menashe Amir, mkurugenzi wa Redio ya Kizayuni ya Kol Yisrael ameshindwa kuficha hamaki zake kufuatia uamuzi wa hivi karibuni ya Trump na kusema: "Waisraeli wameshtuka kwamba leo Wahouthi nchini Yemen wamekuwa mashujaa!"
-
Mizizi ya ukoloni katika mzozo wa India na Pakistan
May 11, 2025 22:28Mzozo wa India na Pakistan ni moja ya migogoro sugu na ya muda mrefu zaidi katika eneo la Asia Kusini.
-
Jinamizi la kukwama safari za ndege laendelea kuitesa Israel
May 11, 2025 08:46Mashambulizi ya Jeshi la Yemen dhidi ya viwanja vya ndege vya utawala wa Kizayuni hususan Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion wa Tel Aviv yanaendelea kuisababishia jinamizi Israel hususan baada ya Yemen kuapa kuvigeuza Jahannam viwanja hivyo vya utawala wa Kizayuni mpaka ukomeshe jinai zake huko Ghaza.
-
Foreign Affairs: Dola bilioni 2 za Marekani zimeshindwa kuipigisha magoti Yemen
May 11, 2025 08:37Jarida la makala za uchaguzi la Foreign Affairs limesisitiza kuwa licha ya rais wa Marekani, Donald Trump kudai kuwa Ansarullah ya Yemen imesalimu amri, lakini harakati hiyo haijaathiriwa na mashambulizi ya Marekani yaliyoitia hasara ya dola bilioni mbili nchi hiyo, na wanamapambano wa Yemen wanaendelea na mashambulizi yao dhidi ya Israel.
-
Aragchi: Haikubaliki kuwa na wasiwasi kuhusu mpango wa nyuklia wa amani wa Iran huku Israel ikiwa na silaha za nyuklia
May 11, 2025 05:46Iran imekosoa undumakuwili wa jamii ya kimataifa kuhusu silaha za nyuklia, na kusema “haikubaliki” kwa madola ya Magharibi kudai kuwa na wasiwasi kuhusu mpango wa nishati ya nyuklia wa amani wa Iran huku yakifumbia macho silaha za nyuklia za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kufurushwa au Kufa: UNICEF yakosoa mpango wa Israel wa misaada Gaza
May 11, 2025 05:42Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limekosoa vikali mpango tata wa misaada kwa Ukanda wa Gaza unaoungwa mkono na Marekani na Israel, likionya kuwa unaweza kulazimisha familia kuchagua kati ya "kuondoshwa makwao au kufa."
-
Nakba Nyingine: UN yaonya kuhusu kuhamishwa kwa nguvu kwa Wapalestina
May 11, 2025 00:58Kamati Maalumu ya Umoja wa Mataifa imeonya kwamba dunia inaweza kuwa inashuhudia “Nakba nyingine” huku utawala wa Israel ukiendelea na mpango wake wa kuwaondoa kwa nguvu maelfu ya Wapalestina katika ardhi yao kwenye vita vyake vya muda mrefu vya mauaji ya kimbari dhidi ya Ukanda wa Gaza.