-
India na Pakistan zaonyesha nia ya kupunguza mzozo kwa masharti
May 10, 2025 08:51India na Pakistan leo Jumamosi zimeonyesha nia yao ya kumaliza mzozo wao wa kijeshi iwapo pande zote mbili zitaheshimu uamuzi huo. Hata hivyo, majeshi ya pande hizo mbilii yameendelea kushambuliana kwa silaha za aina mbaliimbali.
-
Ndege za kivita za Israel zashambulia ghala la chakula la UNRWA huko Jabalia + Video
May 10, 2025 03:27Shirika la Habari la Palestina limetangaza kuwa, ndege za kivita za Israel zimeshambulia ghala la chakula la UNRWA katika kambi ya Jabalia ya kaskazini mwa Ghaza.
-
Si gereza Israel ni makaburi, ukitoka hai ndio ushangae
May 10, 2025 03:26Askari mmoja wa akiba wa jeshi la Israel ambaye wakati fulani alikuweko kwenye jela ya kutisha ya Israel ya Sde Teiman katika Jangwa la Negev amefichua taarifa za kutisha na kuogofya mno kuhusu jinai wanazofanyiwa Wapalestina kwenye gereza hilo.
-
Israel yatumia njaa kama silaha ya vita huku Mabakeri yote Gaza yakifungwa
May 10, 2025 00:58Utawala haramu wa Israel unaendelea kutumia njaa kama silaha ya vita huku taarifa zikisema unga wa ngano umemalizika kabisa katika Ukanda wa Gaza, na kusababisha kufungwa kwa mabakeri yote.
-
Mfumo wa THAAD wa Marekani ulioko Israel wafeli kuzuia makombora ya Yemen
May 10, 2025 00:56Kombora lililovurumishwa kutoka Yemen limefika katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na Israel huku mfumo wa ulinzi wa anga wa THAAD wa Marekani ukishindwa tena, na kulazimisha mamilioni ya Wazayuni kukimbilia katika mahandaki wakiwa na hofu na wahka.
-
Abdul-Malik al-Houthi: Umma wa Kiislamu unabeba jukumu la mauaji ya kimbari Gaza
May 09, 2025 07:23Sayyid Abdul-Malik Badr al-Din al-Houthi, Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ameeleza kuwa, jamii za Kiarabu na Umma wa Kiislamu zinabeba jukumu la msingi la mauaji ya kimbari yanayoendelea huko Gaza akisisitiza matokeo mabaya ya kutochukua kwao hatua.
-
Katibu Mkuu wa Hizbullah: Muqawama utaendelea hadi ushindi kamili
May 09, 2025 04:09Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema Muqawama utaendelea hadi ushindi kamili utakapopatikana na kuangamizwa kikamilifu utawala ghasibu na vamizi wa Kizayuni wa Israel.
-
Jeshi la utawala wa Kizayuni lakiri kuwa askari wake wawili wameangamizwa Ghaza
May 09, 2025 03:50Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limekiri kuwa wanajeshi wake wawili wameuawa katika Ukanda wa Ghaza.
-
Ansarullah: Tutavigeuza Jahannam viwanja vya ndege vya Israel
May 08, 2025 23:34Vyombo vya habari vilivyoko karibuni na Ansarullah ya Yemen vimesambaza mkanda wa video unaotishia kulengwa viwanja vya ndege vya utawala ghasibu wa Kizayuni na kuvigeuza Jahannam na harakati hiyo.
-
Israel yaendelea kupata pigo, mashirika makubwa ya ndege yagoma kwenda Tel Aviv
May 08, 2025 23:03Mashambulizi ya Jeshi la Yemen dhidi ya uwanja wa ndege wa Ben Gurion huko Tel Aviv yanaendelea kuutia hasara kubwa utawala wa Kizayuni ikiwa ni pamoja na mashirika mawili maarufu ya British Airways na Air Europa kuendelea kugoma kupeleka ndege zao kwenye uwanja huo wa Israel.