-
Jolani: Hay’at Tahrir al-Sham inafanya mazungumzo na Israel
May 08, 2025 03:34Mkuu wa utawala wa Hay’at Tahrir al-Sham (HTS) unaoongoza nchini Syria amethibitisha habari ya kuwepo mazungumzo "yasiyo ya moja kwa moja" kati ya utawala huo na utawala wa Israel eti kwa lengo la kuzuia kile alichokiita mripuko usioweza kudhibitiwa wa hali ya mambo, wakati huu ambapo Tel Aviv inaendeleza uchokozi wa kijeshi usiokoma dhidi ya Syria.
-
Ansarullah: Mapatano na Marekani hayatazuia mashambulizi ya Yemen dhidi ya Israel
May 07, 2025 09:01Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen imesema kuwa kusitishwa kwa mashambulizi ya anga ya Marekani dhidi ya Yemen mkabala wa kusitisha mashambulizi dhidi ya meli za kivita za Marekani katika Bahari ya Shamu hakutabadilisha msimamo wa Yemen kuhusu kushambulia Israel.
-
Vyombo vya usalama vya Israel vyaonya kuhusu kupanua vita Ukanda wa Gaza
May 07, 2025 03:02Vyombo vya usalama vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimewatahadharisha viongozi wa utawala huo kwamba kupanuliwa oparsheni za kijeshi katika Ukanda wa Gaza kutapelekea kuuawa mateka wa Kizayuni wanaoshikkiliwa na wanamapambano wa Kipalestina.
-
Hali si hali, mamia ya wanajeshi wa Israel wakamatwa wakitoroka jeshini
May 06, 2025 07:31Wakati jeshi la utawala wa Kizayuni likikaribia kusambaratika kutokaana na uhaba wa wafanyakazi, wimbi la wanajeshi wa Israel wanaokwepa kuhudumu jeshini nalo linazidi kuongezeka hususan kutokana na hofu ya kutumwa kwenye kinamasi cha Ghaza.
-
Baada ya US na Israel kuishambulia kijeshi Yemen kwa pamoja, Ansarullah yasema: Tutajibu mapigo
May 06, 2025 02:45Ndege za kivita za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel usiku wa kuamkia leo zimeshambulia bandari ya Al Hudaydah magharibi mwa Yemen.
-
Wayemen wasambaratisha sekta ya utalii ya Israel
May 05, 2025 23:15Athari za tangazo la Jeshi la Yemen la kufunga anga ya Israel mpaka utawala wa Kizayuni utakapoacha kufanya jinai dhidi ya wananchi wa Ghaza zinaendelea kuitia hasara Israel na zimesambaratisha sekta ya utalii ya utawala wa Kizayuni.
-
Mbunge: Israel kamwe haitopata ushindi; Ghaza itakuwa huru
May 05, 2025 23:14Mbunge mmoja wa zamani wa Bunge la Ulaya, Bi Clare Daly ametoa ujumbe mzito wa kushikamana na Palestina wakati aliposhiriki kwenye Tamasha la Sobh la Kimataifa la Vyombo vya Habari hapa Tehran jana Jumatatu.
-
Yemen yashambulia Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion wa Israel kwa kombora la masafa marefu
May 05, 2025 07:16Jeshi la Yemen limeulenga Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion karibu na Tel Aviv baada ya majaribio kadhaa ya jeshi la Israel kulizuia kushindikana. Kombora hilo lilipenya na kukwepa ngao nne za ulinzi wa anga na kutua katikati ya Uwanja wa Ben Gurion Jumapili, huku mifumo ya Arrow na THAAD ikishindwa kulizuia kombora hilo la hali ya juu.
-
Yemen yatangaza mzingiro kamili wa anga dhidi ya Israel, itaendelea kulenga viwanja vya ndege
May 05, 2025 06:00Vikosi vya Ulinzi vya Yemen vimetangaza kuwa vitaweka mzingiro kamili wa anga dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuendelea kuvilenga mara kwa mara viwanja vya ndege vya utawala huo haramu.
-
Familia za mateka Wazayuni: Njia pekee ya kuwarejesha mateka ni kuipindua serikali ya Netanyahu
May 05, 2025 06:00Familia za mateka Wazayuni wanaoshikiliwa Ghaza zimesema, anachopigania waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni Benjamin Netanyahu ni kurefusha vita kwa malengo yake ya kisiasa, kwa hiyo njia pekee ya kuwarejesha mateka wao ni kuipindua serikali ya Netanyahu, na kwamba lengo hilo litafikiwa kwa wazayuni wote kumiminika mabarabarani.