-
Kimya cha dunia mkabala wa jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza
Apr 10, 2025 22:40Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa Gaza imekuwa machinjioni, na zaidi ya mwezi mmoja sasa hakuna msaada wowote uliopelekwa eneo hilo na kwamba wakazi wa Gaza hawana mafuta, dawa na bidhaa nyingine zinazohitajika.
-
Mgawanyiko katika jeshi la Israel huku mashambulio dhidi ya Gaza yakiendelea
Apr 10, 2025 22:33Kundi la askari wa akiba wa jeshi la anga la Israel limefukuzwa kazi baada ya kutia saini waraka wa kutaka kusitishwa vita dhidi ya Gaza na kurejeshwa kwa mateka wa utawala huo haramu.
-
Maariv: Hamas bado inadhibiti Ukanda wa Gaza
Apr 10, 2025 08:09Vyombo vya habari vya Kizayuni vimekiri kuwa, zaidi ya mwaka mmoja na nusu tangu kuanza vita na mshambulizi ya kijeshi dhidi ya Ukanda wa Gaza, harakati ya Hamas bado inadhibiti eneo hilo na utawala wa Kizayuni umeshindwa kufikia malengo yake.
-
Ansarullah yaitahadharisha Marekani kuhusu vita vya nchi kavu dhidi ya Yemen
Apr 10, 2025 07:57Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya harakati ya Ansarullh ya Yemen amelaani mashamulizi ya anga ya Marekani nchini humo na kutahadharisha kuhusu hatua yoyote ya kijeshi ya nchi kavu ya Washington dhidi ya Yemen.
-
Microsoft yalaaniwa kwa kumfuta kazi mhandisi aliyepinga mauaji ya kimbari Gaza
Apr 10, 2025 04:16Shirika moja la kimataifa limelaani hatua ya kampuni ya Microsoft ya Marekani kumfuta kazi mhandisi wa programu mwenye asili ya Morocco, Ibtihal Aboussad, ambaye aliandamana hadharani kupinga uungwaji mkono wa kampuni hiyo kwa utawala katili wa Israel wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Microsoft.
-
Wapalestina wengine 40 wauawa shahidi Gaza na mabomu ya Wazayuni
Apr 09, 2025 23:24Utawala wa Kizayuni wa Israel umeendelea kumwaga damu za Wapalestina; ambapo umewauwa Wapalestina karibu 40 wakiwemo watoto katika mashambulizi ya anga ya karibuni katika maeneo kadhaa katika Ukanda wa Gaza unaozingirwa.
-
Yemen yaangusha tena droni ya kisasa ya Marekani yenye thamani ya dola milioni 33
Apr 09, 2025 09:02Vikosi vya Yemen vimeangusha tena ndege ya kivita isiyo na rubani au droni ya kisasa aina ya MQ-9 ya Jeshi la Marekani iliyokuwa ikifanya "mashambulizi ya kijeshi" katika anga ya nchi hiyo.
-
Katibu Mkuu wa UN: Ghaza ni uwanja wa mauaji, kuwahamisha Wapalestina hakukubaliki
Apr 09, 2025 03:07Katika tamko kali zaidi ambalo amewahi kutoa hadi sasa, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametoa indhari kuhusu hali ya janga la kibinadamu inayozidi kuwa mbaya katika Ukanda wa Ghaza.
-
Hamas yafananisha vitendo vya Israel Gaza na mauaji ya kimbari ya Rwanda
Apr 08, 2025 23:35Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imefananisha vitendo vya utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza na mauaji ya kimbari ya Rwanda, huku ikisifu hatua ya Umoja wa Afrika ya kumfukuza balozi wa utawala wa Israel kutoka mkutano maalumu wa kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya Rwanda uliofanyika Addis Ababa, Ethiopia.
-
Israel yampiga marufuku mkurugenzi wa Msikiti wa Ibrahimi kwa siku 15
Apr 08, 2025 23:02Utawala haramu wa Israel umempiga marufuku mkurugenzi wa Msikiti wa Ibrahimi ulioko katika mji wa al-Khalil, Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu, kuingia katika eneo hilo takatifu la Kiislamu kwa zaidi ya wiki mbili, huku utawala huo ukiendeleza mashambulizi yake ya kikatili dhidi ya Wapalestina na maeneo yao matakatifu.