-
Russia na Oman zasisitiza kuondolewa kwa wanajeshi wa Israel Ukanda wa Gaza
Apr 23, 2025 04:10Rais wa Russia na Sultan wa Oman wametoa taarifa ya pamoja na kusisitiza ulazima wa kuondolewa kikamilifu vikosi vya kijeshi vya Israel katika Ukanda wa Gaza na ardhi zote za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Jumuiya ya Wanazuoni Yemen: Jihadi dhidi ya uvamizi wa Marekani ni wajibu
Apr 23, 2025 04:09Jumuiya ya Maulamaa wa Yemen imesisitiza haja ya uhamasishaji wa jihadi, utayari wa vita, na utayari wa kujitolea katika kukabiliana na uvamizi wa Marekani.
-
Microsoft inashirikiana na Israel katika mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza
Apr 22, 2025 22:40Hatua ya Ibtihal Aboussad mhandisi wa nchini Morocco ya kupanda jukwaani na kumshutumu Mustafa Suleyman Mkuu wa Kitengo cha Akili Bandia AI cha Kampuni ya Microsoft imegonga vichwa vya habari duniani.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena Msikiti wa Al Aqsa, eneo lake lafanana na 'kambi ya kijeshi'
Apr 22, 2025 06:42Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena ua wa Msikiti wa Al-Aqsa huku wakisindikizwa na polisi wa utawala ghasibu wa Israel Baitul Muqaddas Mashariki inayokaliwa kwa mabavu.
-
Ayatullah Sistani: Papa Francis alikuwa na hadhi ya juu kiroho mbele ya mataifa mengi
Apr 22, 2025 05:17Kiongozi Mkuu wa kidini wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq Ayatullah Sayyid Ali Sistani amesema, Papa Francis alikuwa na hadhi ya juu kiroho mbele ya mataifa mengi kutokana na mchango wake wa kipekee katika kuhimiza amani na kuvumiliana pamoja na kuonyesha mshikamano na watu wanaodhulumiwa duniani.
-
Idadi ya vifo Gaza yafikia 51,240, Israel yaendeleza mashambulizi ya kinyama
Apr 21, 2025 23:31Idadi ya mashahidi wa Palestina waliouawa shahidi kufuatia mashambulio ya kinyama ya utawala ghasibu wa Israel inazidi kuongezeka huku utawala huo haramu ukikithirisha hujuma zake.
-
Makundi yenye silaha Syria yaendelea kufanya uhalifu na kutupa miili kwenye mabonde
Apr 21, 2025 23:30Vyanzo vya ndani vya Syria vimeripoti kuhusu kuendelea jinai zinazofanywa na makundi yenye silaha katika miji mbalimbali ya nchi hiyo na kutelekeza miili ya kwenye mabonde na milima kwa lengo la kuficha jinai zao.
-
Vikosi vya Yemen vyashambulia Israel na meli za kivita za Marekani
Apr 21, 2025 07:22Vikosi vya Jeshi la Yemen vimeendesha msururu wa operesheni kulipiza kisasi kutokana na mashambulizi yanayoendelea ya Marekani katika nchi hiyo ya Kiarabu, vikishambulia ngome muhimu za Isarel katika ardhi zinazikaliwa kwa mabavu pamoja na meli za kivita za Marekani katika Bahari Nyekundu ya Kaskazini na Bahari ya Arabia.
-
Mkuu wa Umoja wa Maulamaa wa Muqawama: Kuitetea Ghaza ni jukumu la Waislamu wote
Apr 21, 2025 03:46Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Maulamaa wa Muqawama amesema, kuitetea na kuiunga mkono Ghaza ni jukumu la watu wote, na akatoa wito kwa mataifa ya Kiislamu na wanazuoni wa Kiislamu kuwasaidia ndugu zao wanaodhulumiwa huko Palestina na katika Ukanda wa Ghaza, wakati huu ambapo utawala wa Kizayuni wa Israel unaendeleza jinai zake dhidi yao.
-
Shambulio la anga la Marekani katika mji mkuu wa Yemen laua raia wasiopungua 12, lajeruhi 30
Apr 21, 2025 03:46Marekani imefanya mashambulizi mengine ya anga dhidi ya mji mkuu wa Yemen, Sana’a na kuwaua shahidi raia wasiopungua 12 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 30.