-
Utawala wa Kizayuni; muuaji wa 70% ya waandishi wa habari duniani
Feb 14, 2025 23:11Kamati ya Kulinda Waandishi wa Habari nchini Marekani sambamba na kutangaza kuwa, idadi kubwa ya waandishi wa habari waliuawa duniani kote mwaka jana imeeleza kwamba, utawala wa Kizayuni umehusika na mauaji ya takriban asilimia 70 ya waandishi hao.
-
Jihadul Islami: Hatutaruhusu kufukuzwa Wapalestina Gaza
Feb 14, 2025 08:39Mwakilishi wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina mjini Tehran amesema Wapalestina kamwe hawatakubali kutekelezwa mpango wa Marekani wa kuwaondoa kwa nguvu wakazi wa Gaza.
-
Ansarullah waapa kuchukua hatua ya kijeshi iwapo mpango wa Trump dhidi ya watu wa Gaza utatekelezwa
Feb 14, 2025 04:38Kiongozi wa harakati ya Ansarulllah nchini Yemen, Abdul-Malik al-Houthi, ameapa kuchukua hatua za kijeshi mara moja iwapo Marekani na Israel zitaanzisha mashambulizi kwenye Ukanda wa Gaza au kutekeleza mpango wa kuwahamisha kwa mabavu wakazi wa eneo hilo.
-
Hamas yatoa wito wa maandamano makubwa kupinga mipango ya kuwaondoa Wapalestina huko Gaza
Feb 13, 2025 23:43Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa wito kwa Wapalestina, Waarabu, Waislamu na watu huru kote duniani kushiriki katika harakati ya kimataifa siku za Ijumaa, Jumamosi na Jumapili, ili kupinga mipango ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuwaondoa Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na kulikalia kwa mabavu eneo hilo.
-
Hamas yasisitiza: Watu wa Palestina watasalia imara katika ardhi yao
Feb 12, 2025 05:52Harakati ya Mpambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imekariri upinzani wake dhidi ya matamshi yaliyotolewa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu suala la kuwahamusha makazi Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza kwa kisingizio cha kulijenga upya eneo hilo.
-
Zaidi ya maghasibu 500,000 wa Kiyahudi wanaugua maradhi ya afya ya akili
Feb 12, 2025 05:50Wazayuni milioni tatu wamekumbwa na matatizo ya kiakili baada ya Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa.
-
Kukimbia wanajeshi wa Marekani San'a ni ushindi mkubwa kwa Yemen
Feb 12, 2025 03:14Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, kukimbia wanajeshi wanamaji wa Marekani mjini San'a ni ushindi mkubwa kwa wananchi wa Yemen na kusisitiza kuwa, kukimbia wanajeshi hao vamizi wa Marekani ni ishara ya kushindwa mradi wa kupenda kujitanua Washington nchini Yemen.
-
Mpango wa Trump kwa ajili ya Gaza; njama za kuifuta Palestina
Feb 12, 2025 03:10Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria upinzani mkubwa wa nchi za eneo na kimataifa dhidi ya mpango haramu wa Rais wa Marekani kuhusu Gaza na kueleza kwamba, mpango huo wa kuwahamisha kwa nguvu watu wa Palestina kutoka Gaza kwa mujibu wa mpango wa kikoloni wa "kuifuta Palestina".
-
Mkuu wa Majeshi ya Oman: Mataifa ya ukanda huu ndio wamiliki wa eneo hili
Feb 12, 2025 03:07Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Oman amesema kuwa: "Tutafanya kila tunaloweza kuhakikisha kunadumishwa ushirikiano katika eneo hilo, kwani mataifa ya ukanda huu ndio wamiliki wa eneo hili."
-
Hamas yapinga vikali kauli ya Trump, yanasema usitishaji mapigano ndio njia pekee ya kuwarudisha mateka wa Israel
Feb 11, 2025 10:46Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imelaani wito wa Rais wa Marekani wa kufutwa usitishaji vita katika eneo la Ukanda wa Gaza hadi pale harakati hiyo ya mapambano ya ukombozi wa Palestina itakapowaachia huru mateka wote wa Israel waliosalia katika muda wa siku chache, ikisema Donald Trump lazima akumbuke kwamba njia pekee ya kurejea mateka wa Israel ni kuheshimu mapatano hayo.