-
Mapendekezo matano ya Iran katika mkutano wa D8
Dec 21, 2024 09:15Mapendekezo matano yaliyototolewa na Iran kuhusu nafasi na wajibu wa kundi la "D8" kuhusu Gaza yanaonyesha kuwa, sambamba na matukio ya hivi sasa ya Syria, kuna ulazima wa kuwepo umoja na mshikamano zaidi na zaidi wa nchi za Kiislamu katika kipindi cha sasa, kuliko wakati mwingine wowote, hususan kuhusu masuala ya Palestina.
-
Siku 440 za vita vya mauaji ya kimbari ya Israel na Marekani kwenye Ukanda wa Gaza
Dec 21, 2024 03:35Vita vya mauaji ya kimbari ya Israel na Marekani dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza uliozingirwa vilikamilisha siku 440 siku ya Alhamisi, Disemba 19, na bado hakuna dalili za uchokozi wa mauaji kumalizika au kupungua.
-
Marekani yafuta zawadi ya dola milioni 10 kwa atakayempata kinara wa HTS Syria
Dec 21, 2024 03:35Marekani imetupilia mbali zawadi ya dola milioni 10 ilizoweka kama zawadi ya atakayemkamata kinara wa wanamgambo wa Hay'at Tahrir al-Sham (HTS) ambao sasa wamenyakua madaraka Syria.
-
Walowezi wa Kizayuni wateketeza moto msikiti wa Palestina katika Ukingo wa Magharibi
Dec 21, 2024 03:33Kundi la walowezi haramu wa Kizayuni wa utawala haramu Israel wamechoma moto Msikiti wa Bir Al-Walidain katika kijiji cha Marda, kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
-
Kombora la Yemen lapiga katikati ya Tel Aviv na kujeruhi watu 14, Israel yakiri imeshindwa kulitungua
Dec 21, 2024 00:12Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limetangaza kuwa kombora lililorushwa kutoka Yemen usiku wa kuamkia leo limepiga katikati ya mji mkuu wa utawala huo haramu Tel Aviv baada ya mifumo yake ya ulinzi wa anga kushindwa kulinasa na kulitungua.
-
Mamia ya maelfu ya Wayemen wafanya maandamano ya kuiunga mkono Palestina
Dec 20, 2024 23:26Mamia ya maelfu ya wananchi wa Yemen kwa mara nyingine tena wamemiminika barabarani kufanya maandamano makubwa ya kuwaunga mkono wananchi wa Palestina na kuupinga utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iraq yaonya juu ya hatari ya kupangwa upya magaidi wa Daesh (ISIS)
Dec 20, 2024 23:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq ameonya kwamba, baada ya kusambaratika jeshi la Syria, genge la kigaidi la Daesh au ISIS limeweza kupanga upya safu zake na limepata silaha nyingi.
-
Umoja wa Mataifa: Mashambulizi ya anga ya Israel nchini Syria lazima yasitishwe
Dec 20, 2024 04:29Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, mashambulizi ya anga ya utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Syria ni ukiukaji wa mamlaka ya kujitawala na utimilifu wa ardhi ya nchi hiyo.
-
Maafisa 500 wa jeshi la Israel wamejiuzulu katika kipindi cha mwaka mmoja
Dec 19, 2024 23:18Chombo kimoja cha habari cha Kizayuni kimefichua kuwa takriban maafisa 500 wa jeshi la utawala huo ghasibu wamejiuzulu katika nusu ya pili ya mwaka huu na kuzua wasiwasi mkubwa hasa kutokana na kuendelea kushudiwa wimbi la wanajeshi wanaoachana na jeshi.
-
Mauaji ya kimbari ya Wazayuni dhidi ya vyombo vya habari Ukanda wa Gaza
Dec 19, 2024 23:14Kamati ya Kuwalinda Waandishi wa Habari ya Palestina (CPJ) imeashiria katika taarifa yake kuhusu jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wanahabari na kuitolea wito jamii ya kimataifa kuuwajibisha utawala huo kutokana na jinai zake huko Gaza.