-
Umoja wa Mataifa: Mashambulizi ya anga ya Israel nchini Syria lazima yasitishwe
Dec 20, 2024 04:29Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, mashambulizi ya anga ya utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Syria ni ukiukaji wa mamlaka ya kujitawala na utimilifu wa ardhi ya nchi hiyo.
-
Maafisa 500 wa jeshi la Israel wamejiuzulu katika kipindi cha mwaka mmoja
Dec 19, 2024 23:18Chombo kimoja cha habari cha Kizayuni kimefichua kuwa takriban maafisa 500 wa jeshi la utawala huo ghasibu wamejiuzulu katika nusu ya pili ya mwaka huu na kuzua wasiwasi mkubwa hasa kutokana na kuendelea kushudiwa wimbi la wanajeshi wanaoachana na jeshi.
-
Mauaji ya kimbari ya Wazayuni dhidi ya vyombo vya habari Ukanda wa Gaza
Dec 19, 2024 23:14Kamati ya Kuwalinda Waandishi wa Habari ya Palestina (CPJ) imeashiria katika taarifa yake kuhusu jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wanahabari na kuitolea wito jamii ya kimataifa kuuwajibisha utawala huo kutokana na jinai zake huko Gaza.
-
Hamas: Mashambulizi ya Israel hayatavuruga azma ya Yemen
Dec 19, 2024 08:02Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani mashambulizi ya kichokozi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Yemen na kutangaza kuwa, jinai hizo hazitazuia kuendelea uungaji mkono wa Sana'a kwa wananchi wa Palestina.
-
D8, nembo ya nguvu ya Ulimwengu wa Kiislamu
Dec 19, 2024 06:16Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, yuko Misri anakoshiriki mkutano wa 11 wa viongozi wa nchi za kundi la D8.
-
Walowezi milioni 1 wa Kizayuni watoroka baada ya kombora la Yemen kulenga Tel Aviv
Dec 19, 2024 03:30Zaidi ya walowezi haramu milioni moja wamekimbilia katika mahandaki chini ya ardhi baada ya kombora lililorushwa kutoka upande wa Yemen kushambulia eneo kubwa zaidi la mji wa Tel Aviv katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zimepachikwa jina bandi la Israel.
-
Idadi ya waliouawa shahidi Gaza yakaribia watu 46,000
Dec 18, 2024 23:41Idadi ya Wapalestina waliouawa shahidi tangu kuanza hujuma kinyama ya jeshi la utawala wa Kizayuni huko Gaza (Oktoba 7, 2023) imekaribia watu 46,000.
-
Yemen yasisitiza kukabiliana na hujuma yote ya nchi ajinabi
Dec 18, 2024 23:41Muhammad Ali al Houthi mjumbe wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Wananchi ya Ansarullah ya Yemen ametangaza kuwa nchi hiyo iko tayari kikamilifu kukabiliana na uchokozi wowote dhidi ya Yemen.
-
Hamas: Picha za mbwa wakila miili za mashahidi ni kielelezo cha ukatili wa kupindukia wa Israel
Dec 18, 2024 04:12Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kuwa picha za mbwa wakila miili ya mashahidi wa Kipalestina mbele ya macho ya wanajeshi wa Israel zinadhihirisha "kiwango cha ukatili na ukubwa wa jinai na unyama wa jeshi la utawala ghasibu wa Israel na uongozi wake wa kifashisti.”
-
Euro-Med: Israel imepanua uharibifu wa miji kama wenzo wa mauaji ya kimbari huko Gaza
Dec 18, 2024 04:07Shirika la kutetea haki za binadamu la Euro-Med Human Rights Monitor linasema kuwa uharibifu unaofanywa na jeshi la Israel katika vitongoji vyote vya Ukanda wa Gaza unaozingirwa ni dhihirisho la wazi la mauaji ya kimbari ambayo utawala huo umekuwa ukifanya kwa muda wa miezi 14 iliyopita.