-
Mahmoud Abbas: Tatizo letu si Iran, ni Israel
Dec 14, 2024 23:38Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameliambia gazeti moja la Italia kwamba tatizo la Palestina si Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bali ni utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Israel yashambulia vituo 20 vya vifaa vya vita vya kielektroniki vya Syria
Dec 14, 2024 23:36Jeshi la utawala dhalimu wa Israel linaendelea na jinai zake kwa kushambulia nguvu za kijeshi za Syria ili kuidhoofisha kupindukia nchi hiyo ya Kiarabu. Miongoni mwa jinai za hivi karibuni zilizofanywa na Israel ni kushambuliwa vituo vya mawasiliano ya simu na vifaa vya vita vya kielektroniki vya Syria.
-
UNRWA: Jinai za Jeshi la Israel Gaza zinaumiza
Dec 14, 2024 08:58Operesheni za kijeshi zinazoendeshwa na jeshi la utawala ghasibu wa Israel huko Gaza zimeendelea kuwasababishia matatizo watoto wa Kipalestina na familia zao, huku idadi ya vifo vikiongozeka.
-
Waziri Mkuu wa Iraq aonya kuhusu mashambulizi dhidi ya Syria
Dec 14, 2024 08:54Waziri Mkuu wa Iraq, Mohammed Shia' al-Sudani amesisitiza umuhimu wa kuzuia uvamizi wowote katika maeneo ya Syria unaofanywa na upande wowote, akionya kwamba vitendo hivyo vinatishia moja kwa moja usalama na utulivu katika eneo la Asia Magharibi.
-
Asilimia 96 ya Watoto wa Gaza Wanahisi Kifo cha Karibu Huku Vita Vikiendelea: Utafiti
Dec 14, 2024 05:23Utafiti mpya unaonyesha hali mbaya ya kisaikolojia ya vita vya miezi 14 vya Israel dhidi ya watoto wa Gaza.
-
Sisitizo la Iran juu ya haja ya jamii ya kimataifa kuwajali wakimbizi wa Afghanistan
Dec 14, 2024 05:15Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amezungumzia uwepo wa wakimbizi zaidi ya milioni 6 wa Afghanistan nchini Iran na kutangaza kuwa, Tehran inatumia zaidi ya dola bilioni 10 kila mwaka kukidhi mahitaji yao licha ya kutopewa uungaji mkono wa kutosha wa jamii ya kimataifa katika kadhia hiyo.
-
Utawala wa Kizayuni waendeleza mashambulizi haribifu hadi karibu na mji mkuu wa Syria, Damascus
Dec 14, 2024 04:38Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeendeleza mashambulizi ya anga ambayo yametikisa mji mkuu wa Syria, Damascus usiku wa kuamkia leo yakilenga makao makuu ya kitengo cha nne cha jeshi na kikosi cha rada cha jeshi hilo.
-
Palestina yalaani hatua ya Paraguay ya kuhamishia tena ubalozi wake Baitul Muqaddas (Jerusalem)
Dec 14, 2024 03:39Palestina imelaani uamuzi uliochukuliwa na Paraguay wa kuuhamishia tena Baitul Muqaddas (Jerusalem), ubalozi wake ulioko katika utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Droni za Yemen zahepa mifumo ya utunguaji ya utawala wa Kizayuni, zapiga Tel Aviv na Ashkelon
Dec 14, 2024 02:57Vikosi vya Jeshi la Yemen vimetangaza kuwa vimefanya mashambulizi ya ndege zisizo na rubani kulenga mji wa Jaffa karibu na Tel Aviv pamoja na mji wa Ashkelon katika eneo la kati la ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu katika operesheni mpya dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
UN: Zaidi ya watu milioni 1.1 wamekimbia makazi yao kote Syria katika wiki 2
Dec 13, 2024 23:33Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa takriban watu milioni 1.1 wamekimbia makazi yao kote nchini Syria tangu wanamgambo wenye silaha wanaoungwa mkono na mataifa ya kigeni walipotwaa madaraka ya nchi hiyo na kupelekea kusambaratika serikali ya Syria.