-
Radiamali ya kwanza ya Syria kwa mashambulizi ya Israel baada ya kuanguka serikali ya Assad
Dec 15, 2024 08:08Hatimaye watawala wapya wa Syria wametoa radiamali dhidi ya jinai za utawala haramu wa Israel baada ya mashambulizi ya mara kwa mara na mfululizo ya Tel Aviv dhidi ya umoja wa ardhi ya nchi hiyo na pia kukaliwa kwa mabavu maeneo mengi ya Syria.
-
Israel yaendeleza mauaji ya waandishi wa habari huko Gaza, Palestina
Dec 15, 2024 06:37Utawala wa Kizayuni wa Israel umeendeleza mauaji dhidi ya waandishi wa habari kwa kuua mwandishi mwingine wa habari wa Kipalestina katika shambulio la anga huko Ukanda wa Gaza.
-
Baada ya mauaji ya halaiki ya Nuseirat, jeshi la Kizayuni lazipiga mabomu nyumba na skuli Ghaza
Dec 15, 2024 02:56Jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel lingali linaendelea kushambulia nyumba na skuli katika Ukanda wa Ghaza, na kuua na kujeruhi watu kadhaa siku moja tu baada ya makumi ya watu kuuawa kwa halaiki katika shambulio la kinyama lililolenga kambi ya wakimbizi wa Kipalestina ya Nuseirat.
-
HAMAS: Hakuna wa kuwaamulia Wapalestina, wao wenyewe wana haki kamili, uwezo na ustahiki
Dec 15, 2024 02:05Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS, kwa mara nyingine tena imesema, inakaribisha uchukuaji hatua wowote ule wa dhati na wa kivitendo kwa ajili ya kusimamisha uchokozi na jinai za utawala ghasibu wa Israel na kukomesha vita katika Ukanda wa Ghaza.
-
Mkuu wa Hizbullah: Israel ilijaribu kwa muda mrefu kuangamiza Muqawama bila mafanikio
Dec 14, 2024 23:51Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala ghasibu wa Israel kwa muda mrefu umekuwa ukitaka kuangamiza harakati ya muqawama (mapambano ya Kiislamu) kupitia kampeni mbalimbali za kikatili, lakini utawala huo umeshindwa kabisa kufikia lengo hilo.
-
Kutoadhibiwa na kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni
Dec 14, 2024 23:40Richard Burgon, mbunge wa Bunge la Uingereza amekosoa mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria na kusisitiza kuwa, kutoadhibiwa utawala huo katika vta vya Gaza kumezidi kuitia kiburi Tel Aviv.
-
Mahmoud Abbas: Tatizo letu si Iran, ni Israel
Dec 14, 2024 23:38Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameliambia gazeti moja la Italia kwamba tatizo la Palestina si Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bali ni utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Israel yashambulia vituo 20 vya vifaa vya vita vya kielektroniki vya Syria
Dec 14, 2024 23:36Jeshi la utawala dhalimu wa Israel linaendelea na jinai zake kwa kushambulia nguvu za kijeshi za Syria ili kuidhoofisha kupindukia nchi hiyo ya Kiarabu. Miongoni mwa jinai za hivi karibuni zilizofanywa na Israel ni kushambuliwa vituo vya mawasiliano ya simu na vifaa vya vita vya kielektroniki vya Syria.
-
UNRWA: Jinai za Jeshi la Israel Gaza zinaumiza
Dec 14, 2024 08:58Operesheni za kijeshi zinazoendeshwa na jeshi la utawala ghasibu wa Israel huko Gaza zimeendelea kuwasababishia matatizo watoto wa Kipalestina na familia zao, huku idadi ya vifo vikiongozeka.
-
Waziri Mkuu wa Iraq aonya kuhusu mashambulizi dhidi ya Syria
Dec 14, 2024 08:54Waziri Mkuu wa Iraq, Mohammed Shia' al-Sudani amesisitiza umuhimu wa kuzuia uvamizi wowote katika maeneo ya Syria unaofanywa na upande wowote, akionya kwamba vitendo hivyo vinatishia moja kwa moja usalama na utulivu katika eneo la Asia Magharibi.