-
Asilimia 96 ya Watoto wa Gaza Wanahisi Kifo cha Karibu Huku Vita Vikiendelea: Utafiti
Dec 14, 2024 05:23Utafiti mpya unaonyesha hali mbaya ya kisaikolojia ya vita vya miezi 14 vya Israel dhidi ya watoto wa Gaza.
-
Sisitizo la Iran juu ya haja ya jamii ya kimataifa kuwajali wakimbizi wa Afghanistan
Dec 14, 2024 05:15Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amezungumzia uwepo wa wakimbizi zaidi ya milioni 6 wa Afghanistan nchini Iran na kutangaza kuwa, Tehran inatumia zaidi ya dola bilioni 10 kila mwaka kukidhi mahitaji yao licha ya kutopewa uungaji mkono wa kutosha wa jamii ya kimataifa katika kadhia hiyo.
-
Utawala wa Kizayuni waendeleza mashambulizi haribifu hadi karibu na mji mkuu wa Syria, Damascus
Dec 14, 2024 04:38Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeendeleza mashambulizi ya anga ambayo yametikisa mji mkuu wa Syria, Damascus usiku wa kuamkia leo yakilenga makao makuu ya kitengo cha nne cha jeshi na kikosi cha rada cha jeshi hilo.
-
Palestina yalaani hatua ya Paraguay ya kuhamishia tena ubalozi wake Baitul Muqaddas (Jerusalem)
Dec 14, 2024 03:39Palestina imelaani uamuzi uliochukuliwa na Paraguay wa kuuhamishia tena Baitul Muqaddas (Jerusalem), ubalozi wake ulioko katika utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Droni za Yemen zahepa mifumo ya utunguaji ya utawala wa Kizayuni, zapiga Tel Aviv na Ashkelon
Dec 14, 2024 02:57Vikosi vya Jeshi la Yemen vimetangaza kuwa vimefanya mashambulizi ya ndege zisizo na rubani kulenga mji wa Jaffa karibu na Tel Aviv pamoja na mji wa Ashkelon katika eneo la kati la ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu katika operesheni mpya dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
UN: Zaidi ya watu milioni 1.1 wamekimbia makazi yao kote Syria katika wiki 2
Dec 13, 2024 23:33Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa takriban watu milioni 1.1 wamekimbia makazi yao kote nchini Syria tangu wanamgambo wenye silaha wanaoungwa mkono na mataifa ya kigeni walipotwaa madaraka ya nchi hiyo na kupelekea kusambaratika serikali ya Syria.
-
Hamas yawataka mawaziri wa afya wa nchi za Kiarabu kuokoa sekta ya afya ya Gaza
Dec 13, 2024 22:59Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetoa wito kwa mkutano wa 61 wa Baraza la Mawaziri wa Afya wa Nchi za Kiarabu, ambao unafanyika Iraq, kuchukua maamuzi ya haraka na hatua za kuokoa mfumo wa afya na hospitali za Ukanda wa Gaza.
-
Waziri wa Lebanon: Israel imefanya uhalifu wa kivita wa kimazingira
Dec 13, 2024 22:58Waziri wa Mazingira wa Lebanon amesema kuwa Israel imeharibu ardhi na misitu ya kusini mwa hiyo kwa kutumia silaha zilizopigwa marufuku.
-
Kupitishwa maazimio mawili katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu vita vya Gaza na UNRWA
Dec 13, 2024 11:19Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, limepitisha kwa wingi wa kura maazimio mawili yanayotoa wito wa kusitishwa mara moja vita vya Gaza na pia kuunga mkono shughuli za Shirika la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).
-
Hamas yakaribisha azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu kusitisha mapigano Gaza
Dec 13, 2024 06:32Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) "imekaribisha" azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa linalotaka kusitishwa kwa mapigano mara moja na bila masharti huko Gaza, na kuitaka jamii ya kimataifa kuilazimu Israel isitishe vita vya mauaji ya kimbari kwenye ukanda huo.