-
Jeshi la Israel laua Wapalestina 14 Ghaza baada ya kuua Walebanon 14 pia Bekaa
Nov 12, 2024 04:21Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeendelea kufanya jinai za mauaji ya kinyama katika Ukanda wa Ghaza kwa kuwaua shahidi Wapalestina 14 asubuhi ya leo waliokuwa wamepata hifadhi katika linalodaiwa na utawala huo kuwa ni "eneo salama" huko al-Mawasi.
-
Jihadul Islami: Maneno ya waziri wa fedha wa Israel yamewazaba kibao wafanya mapatano
Nov 12, 2024 04:20Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina imetangaza katika taarifa kwamba, kauli ya Waziri wa Fedha wa utawala wa Kizayuni kuhusu kuukalia kwa mabavu Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan imewazaba kibao kingine wafanya mapatano.
-
Muqawama wa Kiislamu wa Iraq washambulia ngome na vituo vya utawala wa Kizayuni
Nov 12, 2024 03:39Muqawama wa Kiislamu wa Iraq umetangaza kuwa umefanya shambulizi la ndege isiyo na rubani kwenye kituo cha kijeshi kusini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopewa jina bandia la Israel.
-
Viongozi wa Kiislamu wataka kukomeshwa mara moja jinai za Israel huko Ghaza na Lebanon
Nov 12, 2024 00:24Viongozi wa Kiislamu na wa Kiarabu ambao wameitisha mkutano wa dharura mjini Riyadh Saudi Arabia wameutaka utawala wa Kizayuni ukomeshe mara moja jinai zake za kinyama katika Ukanda wa Ghaza na Lebanon.
-
Hizbullah: Kukimbia Israel kusini mwa Lebanon ni ishara ya udhaifu wa Wazayuni
Nov 12, 2024 00:22Msemaji wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, kukimbia wanajeshi wa utawala wa Kizayuni katika maeneo ya kusini mwa Lebanon ni ushahidi tosha wa udhaifu, kufeli na kushindwa wanajeshi hao na Muqawama wa Kiislamu.
-
Kwa mara nyingine mfumo wa makombora wa Israel wadhalilishwa na Yemen
Nov 11, 2024 10:00Vikosi vya Ulinzi vya Yemen vimeendelea kuyatwanga kwa makombora maeneo tofauti ya utawala wa Kizayuni na kuzidi kuifedhehesha na kuidhalilisha mifumo ya ulinzi wa makombora ya Israel iliyogaiwa na madola ya kibeberu.
-
FIFA yatakiwa kutoichagua Saudi Arabia kuandaa Kombe la Dunia 2034
Nov 11, 2024 09:27Mashirika ya kutetea haki za binaadamu yamelitaka Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) kusitisha mchakato wa kuichagua Saudi Arabia kuwa mwenyeji wa michuano ya soka ya Kombe la Dunia mwaka 2034.
-
Arab League: Kunyamazia kimya hali ya Palestina na Lebanon ni sawa na kushiriki katika jinai
Nov 11, 2024 04:23Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amesemam kuwa kukaa kimya mkabala wa jinai zinazotekelezwa na utawala wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina na Lebanon ni sawa na kushiriki katika jinai hizo.
-
Kwa mara ya kwanza Hizbullah yakishambulia kituo cha ufuatiliaji wa kiufundi na kielektroniki cha Wazayuni huko Golan
Nov 11, 2024 04:16Harakatii ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon kwa mara ya kwanza imekishambulia kwa makombora kituo cha ufuatiliaji wa kiufundi na kielektroniki cha utawala ghasibu wa Israel katika eneo la Golan linalokaliwa kwa mabavu.
-
Wanamuqawama wa al Qassam wawaangamiza wanajeshi 15 wa Kizayuni
Nov 10, 2024 23:08Brigedi za Izzuddin al Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) zimetangaza kuwa wanamuqawama wamewaangamiza wanajeshi 15 wa Israel katika Ukanda wa Gaza.