-
Wapiganaji wa Hizbullah watangaza utiifu wao kwa kiongozi mpya, wasema adui anawaogopa
Nov 10, 2024 08:32Wapiganaji wa harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon wametangaza utiifu wao kwa kiongozi mpya wa harakati hiyo huku wakisisitiza kuwa maadui wana hofu kubwa kutokana na ushujaa wa wapiganaji wa muqawama na silaha zao.
-
Israel imeua waandishi habari 188 wa Kipalestina tangu Oktoba mwaka jana
Nov 10, 2024 08:28Ofisi ya vyombo vya habari katika Ukanda wa Gaza, ambako utawala wa Israel umekuwa ukiendesha vita vya mauaji ya kimbari tangu Oktoba mwaka jana, inasema waandishi wa habari 188 wa Kipalestina wameuawa shahidi tangu kuanza kwa mashambulizi hayo ya kikatili ya kijeshi.
-
Qatar yakadhibisha madai ya kufunga ofisi ya HAMAS mjini Doha
Nov 10, 2024 03:50Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar amepuuzilia mbali ripoti za baadhi ya vyombo vya habari kuhusu kufungwa kwa ofisi ya Harakati ya Muqawamawa wa Kiislamu ya Palestina HAMAS mjini Doha.
-
Ndege za kivita za US na UK zashambulia miji ya Yemen
Nov 10, 2024 03:40Marekani na Uingereza zimefanya mashambulizi kadhaa ya anga dhidi ya maeneo tofauti katika mkoa wa Sana'a na maeneo mengine ya Yemen, ili eti kukabiliana na operesheni za nchi hiyo ya Kiarabu dhidi ya Israel.
-
Hizbullah yadungua ndege ya kivita isiyo na rubani ya Israel ya Hermes 450
Nov 10, 2024 00:02Wapiganaji wa harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon wameiangusha ndege ya kivita ya Israel isiyo na rubani ilipokuwa ikiruka angani juu ya wilaya ya Marjeyoun kusini mwa Lebanon karibu na mpaka na maeneo yanayokaliwa kwa mabavu
-
Kupasishwa vikwazo dhidi ya utawala wa Kizayuni katika Bunge la Ireland
Nov 09, 2024 22:41Wabunge wa Ireland wamepasisha muswada ambao unauarifisha utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni utawala mtenda jinai unaofanya mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza mbele ya macho ya walimwengu.
-
Hizbullah yaishambulia tena Tel Aviv kwa makombora, droni zake zawa jinamizi kwa jeshi la Israel
Nov 09, 2024 03:42Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah imezishambulia tena kwa makombora ngome na vituo vya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji wa Tel Aviv.
-
Wapalestina 162 wameuawa shahidi na kujeruhiwa katika mashambulizi ya Israel huko Gaza
Nov 09, 2024 03:41Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa watu 39 wameuawa shahidi na 123 wamejeruhiwa katika mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza katika muda wa saa 24 zilizopita.
-
Ripoti yadai: Qatar imewaeleza viongozi wa Hamas kuwa hawatakiwi kuwepo tena nchini humo
Nov 09, 2024 03:23Mtandao wa habari wa lugha ya Kiebrania wa Kan umedai kuwa Qatar imewaambia viongozi wa kisiasa wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS kwamba "hawatakiwi tena" katika nchi hiyo ya Ghuba ya Uajemi.
-
Kambi ya Israel ya Nevatim yapigwa kwa kombora la hypersonic
Nov 08, 2024 23:51Msemaji wa Jeshi la Yemen, Brigedia Jenerali Yahya Saree amesema vikosi vya nchi hiyo vimefanikiwa kushambulia kambi hasasi ya kijeshi ya Israel ya Nevatim kwa kombora la balestiki la hypersonic.