-
UN: 70% ya wahanga wa ukatili wa Israel Gaza ni watoto, wanawake
Nov 08, 2024 23:50Umoja wa Mataifa umeripoti kuwa, wanawake na watoto wanaunda asilimia kubwa ya vifo na majeruhi wa mashambulizi ya kinyama ya Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Jeshi la Yemen latungua ndege ya kivita ya Marekani aina ya MQ-9 Reaper
Nov 08, 2024 08:46Vikosi vya ulinzi wa anga vya Yemen vimelenga kwa kombora na kuitungua ndege nyingine ya kivita ya Marekani isiyo na rubani aina ya MQ-9 Reaper katika mkoa wa kaskazini wa al-Jawf, ikiwa ni ndege ya 12 ya aina hiyo kuangusha na vikosi vya nchi hiyo.
-
Israel yashambulia shule ya UNRWA Gaza, yaua raia 14
Nov 08, 2024 08:45Raia zaidi wa Kipalestina wameuawa katika vita vya mauaji ya kimbari vya Marekani na Israel dhidi ya Gaza, huku utawala wa Tel Aviv ukiendeleza mashambulizi yake ya kikatili katika eneo lililozingirwa.
-
Maafa ya mazingira yaikumba Lebanon kutokana na mashambulizi ya jeshi la Israel
Nov 08, 2024 04:01Kuendelea mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon kumeitumbukiza nchi hiyo katika mgogoro wa kimazingira na kiafya.
-
Mashabiki wa Kizayuni wachezea kipigo baada ya kuivunjia heshima bendera ya Palestina
Nov 08, 2024 04:01Mashabiki wa mpira wa Kizayuni waliokuwa wakitizama mechi ya soka katika mji wa Amsterdam nchini Uholanzi wameshambuliwa na kuchezea kipigo baada ya kuivunjia heshima bendera ya Palestina.
-
Kambi ya Jabalia, "Hiroshima" ya Gaza, ambayo inafutwa na utawala ghasibu wa Israel
Nov 07, 2024 23:06Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa, utawala wa Kizayuni wa Israel umekuwa ukijaribu kuwaondoa kwa nguvu wakazi wa Kaskazini mwa Ukanda wa Gaza, kwa kuweka mzingiro mkali na kufanya uharibifu mkubwa wa nyumba na majengo ya eneo hilo, kuzuia kuingia na kutoka isipokuwa kupitia vituo vya ukaguzi ambavyo umeviweka kwa ajili yay kufanya upekuzi kwa wakimbizi wanaoeleka kusini mwa Gaza.
-
Matokeo ya kufutwa kazi Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni
Nov 07, 2024 05:10Hatua ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, ya kumfuta kazi Yoav Gallant, Waziri wa Vita wa utawala huo imezidisha hali ya mgogoro huko Tel Aviv.
-
Hizbullah yalenga Tel Aviv, Haifa; yazindua kombora jipya lenye usahihi mkubwa
Nov 07, 2024 03:11Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imeishambulia miji ya Tel Aviv na Haifa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) kwa kutumia ndege zisizo na rubani na makombora ya Kamikaze. Aidha Hizbullah imezindua kombora jipya lenye usahihi mkubwa ambalo litatumiwa katika mapambano yake yanayoendelea dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.
-
Sheikh Naim Qasim: Tutawafanya Wazayuni waombe kusitishwa vita
Nov 06, 2024 23:02Sheikh Naim Qassem, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema: "Maneno ya Shahidi Seyed Hassan Nasrullah ni nuru ya uongofu, na Imam Khamenei alisema kumhusu kwamba hana mithili na mfano wake.
-
PNGO yakosoa marufuku ya Israel ya kupelekwa misaada ya kibinadamu Gaza
Nov 06, 2024 23:01Amjad Shawa ni Mkurugenzi wa Mtandao wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ya Palestina (PNGO) amekosoa vikali hatua ya kinyama ya utawala haramu wa Israel ya kupiga marufuku upelekaji wa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza.