-
Al Houthi: Mashambulizi ya adui Marekani na Mzayuni dhidi ya Iran hayawezi kuhalalishwa kwa namna yoyote
Mar 27, 2026 06:20Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ametangaza kuwa mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran hayana msingi wowote.
-
Vipigo vya makombora ya Hizbullah vyalivuruga baraza la mawaziri la Israel
Mar 27, 2026 04:49Ongezeko la mashambulizi ya roketi ya harakati ya Hizbullah ya Lebanon dhidi ya jeshi la utawala ghasibu wa Israel, yaliyoelezwa na vyombo vya habari vya Israel kama mashambulizi makali zaidi tangu kuanza kwa vita, limeugeuza mkutano wa baraza la mawaziri la Israel kuwa uwanja wa malumbano makali kati ya waziri wa fedha na mkuu wa majeshi ya utawala huo.
-
Ripoti: Harakati ya Ansarullah ya Yemen iko tayari Kudhibiti Lango Bahari la Bab al‑Mandab
Mar 26, 2026 06:00Duru zinadokeza kuwa, Harakati ya Ansarullah ya Yemen iko tayari kuchukua udhibiti wa eneo la kimkakati la Lango Bahari wa Bab al‑Mandab kama sehemu ya hatua za nguvu za Muqawama (Mapambano) za kuwaadhibu maadui walioanzisha hujuma ya kichokozi dhidi ya Iran.
-
Harakati ya Al-Nujaba yataka makubaliano ya usalama kati ya Iraq na Marekani yafutwe
Mar 26, 2026 04:47Mkuu wa Baraza Kuu la harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Iraq, Al-Nujaba, ametoa wito kwa Bunge na harakati za kizalendo kufuta makubaliano ya usalama na Marekani.
-
Jeshi la Iran lauonya utawala lauonya utawala wa Israel kuhusu mauaji ya raia Palestina, Lebanon
Mar 24, 2026 06:22Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu mauaji yanayotekelezwa na utawala huo dhidi ya raia wa Palestina na Lebanon. Taarifa ya IRGC imesema jeshi katili la Israel limevuka mistari yote myekundu katika mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina na Walebanoni.
-
Ayatullah Sistani: Tunalaani vikali vita dhidi ya Iran na Lebanon, nchi za Kiislamu zichukue hatua
Mar 23, 2026 05:29Mwanazuoni mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, Ayatullah Sayyid Ali al‑Sistani, amelaani kwa maneno makali vita vinavyoendeshwa hivi sasa na Marekani na Israel dhidi ya Iran na Lebanon, na amewataka Waislamu wote pamoja na watu huru duniani kuvipinga na kuvikemea.
-
Hizbullah ya Lebanon yavunja rekodi kwa kutekeleza operesheni 61 dhidi ya ngome za ‘Israel’ ndani ya siku moja
Mar 23, 2026 05:29Harakati ya Muqawama au mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon imeweka rekodi mpya baada ya kutekeleza operesheni 61 dhidi ya ngome za utawala wa Kizayuni wa Israel katika siku moja.
-
Msemaji wa al Qassam asema Iran ni safu ya mbele ya kutetea Umma wa Kiislamu
Mar 22, 2026 03:48Msemaji wa tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amepongeza mashambulizi ya makombora ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran dhidi ya maeneo mbalimbali ya utawala ghasibu wa Israel.
-
Ansarullah ya Yemen: Iran inahami mustakbali wake na Umma wa Kiislamu
Mar 20, 2026 08:10Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa yoyote atakayepuuza haki ya Iran ya kujihami atakuwa amemhudumia adui.
-
Picha ya NASA yaonyesha athari za shambulio la Iran kwenye kiwanda kikubwa zaidi cha kusafisha gesi duniani
Mar 19, 2026 07:57Picha za setilaiti za NASA zinaonyesha moto mkubwa uliotokea katika kituo kikubwa zaidi cha kuzalisha gesi duniani huko Qatar.