-
Onyo la Russia kwa Israel: Msithubutu kushambulia vituo vya nyuklia vya Iran
Oct 17, 2024 23:22Russia imeuonya vikali utawala haramu wa Israel na kuutaka usijaribu hata kufikiria kushambulia vituo vya nyuklia vya Iran.
-
Umoja wa Mataifa yaonya kuhusu Israel kuzuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza
Oct 17, 2024 08:38Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, utawala wa Kizayuni unazuia misaada ya kibinadamu kuingia katika Ukanda wa Gaza.
-
Ujenzi wa "nyumba zinazohamishika" huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) kwa kuhofia makombora ya Hizbullah ya Lebanon
Oct 17, 2024 04:22Utawala wa Kizayuni wa Israel umeanza kutengeneza nyumba zinazohamishika kutokana na wasi wasi wa kuenea mashambulizi ya makombora ya Hizbullah ya Lebanon, ili kuendeleza shughuli za viwanda vya kaskazini mwa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Israel.
-
Misri na Uhispania zatoa wito mpya wa kusitishwa mapigano Gaza na Lebanon
Oct 17, 2024 03:49Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Misri na Uhispania walitoa wito huo jana Jumatano wakitaka kusitishwa mapigano mara moja huko Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Askari 7 wa Israel waangamizwa, 49 wajeruhiwa katika mapigano na wanamuqawama wa Hizbullah
Oct 16, 2024 23:56Askari wasiopungua saba wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wameripotiwa kuangamizwa katika mapigano na harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon kwenye mpaka wa kusini wa nchi hiyo na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina bandia la Israel.
-
Lebanon yawasilisha malalamiko mapya dhidi ya Israel kwa Baraza la Usalama
Oct 16, 2024 23:23Wizara ya Mambo ya Nje ya Lebanon imesema kuwa imewasilisha malalamiko yake mapya kwa Baraza la Usalama la UN kuhusu utawala wa Kizayuni.
-
Israel imefanya kosa kubwa la kiistratijia kuua kigaidi makamanda wa Muqawama
Oct 16, 2024 07:08Balozi wa Iran nchini Lebanon amesema kuwa, jinai ya utawala wa Kizayuni ya kuwaua kigaidi makamanda wa Muqawama ni kosa kubwa la kiistratijia na kusisisitiza kuwa, Israel haiwezi kuimaliza nguvu Hizbullah kwa kuwaua kigaidi makamanda wake.
-
Qatar: Hatutaruhusu ardhi, anga yetu zitumike kushambulia majirani
Oct 16, 2024 03:38Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema nchi yake kamwe haitaruhusu Kambi ya Anga ya Al Udeid ambayo ina wanajeshi wa Marekani, Uingereza na Qatar kutumika kufanya mashambulizi dhidi ya nchi za eneo hili la Asia Magharibi.
-
Mashambulio makali ya makombora ya Hizbullah kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel)
Oct 16, 2024 03:36Leo Jumatano alfajiri vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimetangaza mashambulizi ya makombora kutoka kusini mwa Lebanon katika mji wa Safad ulioko kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) na miji inayoizunguka.
-
Wapalestina 55 wauawa katika mashambulizi mapya ya Israel huko Gaza
Oct 16, 2024 01:09Mashambulizi ya mara kwa mara ya Israel dhidi ya Gaza, ikiwemo Jabalia kaskazini mwa Gaza, yamesababisha vifo vya Wapalestina 55 zaidi.