-
Ayatullah Sistani: Ichukuliwe hatua haraka kukomesha uchokozi wa Israel dhidi ya Lebanon
Sep 24, 2024 07:41Kiongozi wa juu wa kidini na Marjaa-Taqlidi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq Ayatullah Ali al-Sistani ameelezea mshikamano wake na Lebanon wakati nchi hiyo ya Kiarabu na Kiislamu inaendelea kuandamwa na mashambulio ya kinyama ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel na ametaka zifanyike juhudi za dharura kusitisha uchokozi huo wa kikatili wa utawala huo na kuwalinda raia wa Lebanon.
-
Utawala wa Kizayuni waendeleza jinai nchini Lebanon, Hizbullah yajibu jinai hizo
Sep 24, 2024 04:00Utawala wa Kizayuni unaendelea kufanya jinai za kushambulia maeneo ya raia nchini Lebanon. Harakati ya Hizbullah nayo imeendelea kujibu jinai hizo kiasi kwamba shughuli za mji wa Haifa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, zimekwamishwa na mashambuizi ya makombora ya Hizbullah.
-
Mkuu wa zamani wa CIA: Hujuma ya kielektroniki ya Israel dhidi ya Lebanon ni 'aina ya ugaidi'
Sep 23, 2024 22:48Waziri wa zamani wa ulinzi wa Marekani ambaye pia aliwahi kuwa mkurugenzi wa shirika la kijasusi la CIA amekiri kwamba shambulio la kielektroniki la utawala haramu wa Israel nchini Lebanon lililohusisha mlipuko wa vifaa vya mawasiliano vya pager ni "aina ya ugaidi."
-
Kuchukua wigo mpana operesheni za muqawama za kukabiliana na vitendo vya kigaidi vya Wazayuni
Sep 23, 2024 22:47Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon na vikosi vya muuqawama wa Kiislamu nchini Iraq vimetekeleza operesheni kadhaa tofauti vikilenga shabaha mbalimbali za kijeshi na kiusalama katika maeneo mbalimbali yanayokaliwa kwa mabavu ambayo yamepewa jina bandia la Israel.
-
Nabih Berri atahadharisha kuhusu hulka ya kupenda vita ya utawala wa Kizayuni katika eneo
Sep 23, 2024 08:32Spika wa bunge la Lebanon ameashiria kuendelea mashambulizi ya utawala wa Kizayuni nchini humo na kusema, Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala huo anafanya kila awezalo ili kuitumbukiza Lebanon na eneo hili katika vita vikubwa.
-
Jibu la awali la Hizbullah kwa chokochoko na uafriti wa Netanyahu
Sep 23, 2024 04:40Baada ya utawala wa Kizayuni wa Israel na kiongozi mwenyewe wa utawala huo bandia Netanyahu kukataa kusitisha vita katika Ukanda wa Ghaza na badala yake kuanzisha mauaji ya kigaidi kupitia hujuma za kimtandao nchini Lebanon, hatua hiyo sio tu imekwamisha juhudi za kurejeshwa amani katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na eneo kwa jumla,
-
Sheikh Naeem Qasim: Marekani ni mshirika wa jinai za utawala wa Kizayuni
Sep 23, 2024 03:39Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema Marekani ni mshirika wa mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Hizbullah yatwanga Haifa kwa kombora jipya la Fadi, wazayuni wengi waangamizwa
Sep 22, 2024 23:55Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa imeshambulia kwa makombora kadhaa ya Fadi-1, Fadi-2 na maroketi ya Katyusha viwanda vya kijeshi vya Kampuni ya Rafael, ambayo inajishughulisha na vifaa vya kielektroniki, kaskazini mwa mji wa Haifa huko Israel.
-
Waziri Mkuu wa Lebanon atoa wito kwa jamii ya kimataifa kukabiliana na 'mauaji ya kutisha'
Sep 22, 2024 23:24Waziri Mkuu wa Lebanon ametoa wito kwa jamiii ya kimataifa "kuchukua msimamo wa wazi" juu ya kile anachokiita "mauaji haya ya kutisha" katika taarifa iliyochapishwa jana.
-
Erdogan: Tunasubiri jibu la Rais Assad kwa ombi la kurejesha uhusiano
Sep 22, 2024 23:23Rais wa Uturuki amesema kuhusu mchakato wa kurejesha uhusiano kati ya Uturuki na Syria kwamba, tumesisitiza nia yetu ya kukutana na Rais Bashar al-Assad ili kuanzisha tena uhusiano wa uhusiano kati ya Ankara na Damascus.