-
Hizbullah yashambulia kiwanda cha silaha cha Rafael katika 'jibu la awali' kwa shambulio la kigaidi la Israel
Sep 22, 2024 08:46Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imelenga kituo cha kutengeneza silaha cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha Rafael kilichoko Haifa katika "jibu la awali" kwa shambulio la hivi karibuni la kigaidi la utawala huo huko Lebanon.
-
Wapalestina zaidi ya 20 wauawa shahidi baada ya Israel kuishambulia shule huko Gaza
Sep 22, 2024 04:20Wapalestina wasiopungua 21 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya ndege za kivita za jeshi la utawala wa Kizayuni katika shule ya al Falah katika mji wa Gaza.
-
Hizbullah yalenga kwa makombora makao makuu ya kijasusi ya Israel baada ya mashambulizi ya Beirut
Sep 21, 2024 04:37Harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imevurumisha msururu wa makombora ya kulipiza kisasi dhidi ya makao makuu ya kijasusi ya utawala wa Kizayuni wa Israel na kambi za kijeshi za utawala huo baada ya mashambulizi ya anga ya Israel kwenye mji mkuu wa Lebanon, Beirut.
-
Hizbullah yathibitisha kuuawa shahidi kamanda Ibrahim Aqil katika hujuma ya kigaidi ya Israel
Sep 21, 2024 00:57Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuuawa kamanda wake wa ngazi ya juu Ibrahim Aqil katika hujuma ya kigaidi iliyotekelezwa Ijumaa na utawala haramu wa Israe jijini Beirut.
-
Russia: Azimio la Umoja wa Mataifa linaweka wazi uharamu wa vitendo vya Israel
Sep 20, 2024 09:12Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetangaza kuwa, azimio jipya la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ni hatua muhimu ambayo inaiwezesha jamii ya kimataifa kutambua uharamu wa hatua za Israel.
-
Ujumbe wa Lebanon Umoja wa Mataifa: Vifaa vya mawasiliano vilitegwa mada za milipuko kabla ya kuwasili nchini
Sep 20, 2024 09:11Uchunguzi wa awali uliofanywa na serikali ya Lebanon umeonyesha kuwa vifaa vya mawasiliano vilivyolipuka wiki hii nchini humo na kuua makumi ya watu "vilitengwa mada za milipuko kabla ya kuwasili Lebanon."
-
Askari wa Israel waziporomosha kwa mateke maiti za Wapalestina kutokea kwenye paa la jengo
Sep 20, 2024 04:10Askari katili wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wamedhihirisha tena unyama wao baada ya kunaswa kupitia mkanda wa video wakiziporomosha kwa mateke maiti za Wapalestina waliowaua katika shambulio walilofanya katika eneo la Qabatiya, Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan unaokaliwa kwa mabavu.
-
Nasrullah: Adui Mzayuni amevuka mistari yote myekundu
Sep 19, 2024 23:02Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema maadui wa Kizayuni walivuka mistari yote myekundu siku ya Jumanne kwa kufanya jinai ya kuogofya katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
OIC yaunga mkono azimio la Umoja wa Mataifa la kukomesha kuikalia kwa mabavu Palestina
Sep 19, 2024 23:01Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imepongeza na kulipokea kwa mikono miwili azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa linaloitaka Israel kukomesha uwepo wake kinyume cha sheria katika eneo la Palestina linalokaliwa kwa mabavu ndani ya mwaka mmoja.
-
Askari kadhaa wa Israel waangamizwa katika mashambulizi ya Hizbullah
Sep 19, 2024 10:39Wanajeshi kadhaa wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameangamizwa huku wengine wengi wakijeruhiwa katika mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon.