-
UNICEF: Zaidi ya watoto 50,000 wa Gaza wanakabiliwa na utapiamlo mkali
Sep 07, 2024 03:47Mfuko wa Kuhudumia Watoto Umoja wa Mataifa wa (UNICEF) umetangaza kuwa, zaidi ya watoto 50,000 huko Gaza wanakabiliwa na utapiamlo mkali.
-
HAMAS yaitaka Marekani iulazimishe utawala wa Kizayuni ukomeshe jinai zake
Sep 06, 2024 05:16Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeitaka Marekani iulazimishe utawala wa Kizayuni ukomeshe jinai zake katika ukanda wa Ghaza na usikwamishe juhudi za kimataifa za kusitishwa jinai hizo.
-
Hamas yapinga makubaliano yanayotambua rasmi uwepo wa Israel huko Ghaza
Sep 06, 2024 03:56Mkuu wa timu ya mazungumzo ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amesema harakati hiyo ya muqawama haitaafiki makubaliano ambayo yanahalalisha uwepo wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.
-
Hizbullah yaendelea kuiadhibu Israel kwa maroketi na ndege zisizo na rubani
Sep 06, 2024 03:56Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa imetekeleza mashambulizi katika maeneo mengi ya Israel ili kukabiliana na uvamizi wa kikatili dhidi ya Gaza na kulipiza kisasi mashambulizi dhidi ya maeneo ya kusini mwa Lebanon.
-
Kiongozi wa Ansarullah akosoa tawala za Kiarabu kwa kunyamazia kimya jinai za Israel, kuvunjiwa heshima Qur'ani
Sep 05, 2024 23:46Kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen amezikosoa baadhi ya tawala za Kiarabu kwa kukaa kimya huku utawala ghasibu wa Israel ukiendelea na ukatili wake dhidi ya Wapalestina na kukivunjia heshima kitabu kitukufu cha Kiislamu cha Qur'ani katika Ukanda wa Gaza.
-
Matokeo ya kujiuzulu kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya utawala wa Kizayuni
Sep 05, 2024 23:34Kujiuzulu kwa kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya utawala wa Kizayuni wa Israel ni natija ya kushadidi hitilafu na mifarakano ya ndani kati ya jeshi na Wazayuni wenye misimamo ya kufurutu ada.
-
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC atetea kibali cha kukamatwa Netanyahu
Sep 05, 2024 23:33Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu amesema kuwa, haki lazima itendeke baada ya kutolewa kibali cha kukamatwa kwa waziri mkuu wa Israel na waziri wa ulinzi wa utawala huo ghasibu.
-
Saudia: Kuanzisha uhusiano na Israel kunategemea kutatuliwa kadhia ya Palestina
Sep 05, 2024 07:13Mohammed bin Salman, Mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia amesema, kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel kunategemea kutatuliwa kadhia ya Palestina.
-
Netanyahu na uafriti wake usio na kikomo wa kukwamisha mapatano katika mazungumzo ya kusimamisha vita
Sep 05, 2024 04:00Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel anaendelea kukwamisha mapatano katika mazungumzo ya kusitisha mapigano katika Ukanda wa Ghaza.
-
Israel yafanya mashambulizi ya kipunguani kusini mwa Lebanon
Sep 05, 2024 02:33Ndege za utawala wa Kizayuni zimefanya mashambulizi ya kiwendawazimu na kipunguani kwa muda wa saa mbili mfululizo katika maeneo kadhaa ya kusini mwa Lebanon.