-
UNICEF: Chanjo ya polio huko Gaza ni mojawapo ya kampeni hatari zaidi duniani
Sep 04, 2024 23:02Shirika la Kuhudimia Watoto la Umoja wa Mataifa la (UNICEF) limesema zoezi la kutoa chanjo ya polio kwa watoto wa Kipalestina katika eneo la Ukanda wa Gaza lilikuwa miongoni mwa kampeni ngumu na hatari zaidi duniani licha ya kusitishwa kwa muda mapigano katika eneo hilo kwa ajili ya zoezi hilo.
-
Wazayuni wenye misimamo mikali wavamia tena msikiti wa al-Aqswa
Sep 04, 2024 23:01Mamia ya walowezi wa Kizayuni wamevamia tena msikiti mtakatifu wa wa Al-Aqsa na kufanya vitendo vya kichochezi dhidi ya kibla hicho cha kwanza cha Waislamu.
-
Hamas: Utawala wa Kizayuni unatekeleza sera za kuwaua kwa makusudi wafungwa wa Kipalestina
Sep 04, 2024 10:59Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza katika taarifa yake kwamba adui Mzayuni anatekeleza sera za kuwaua kwa makusudi wafungwa na mateka wa Kipalestina walioko katika magereza ya utawala huo haramu.
-
Muqawama wa Iraq watumia droni za kamikaze kupiga Haifa
Sep 04, 2024 03:30Harakati ya Muqawama ya Iraq imefanya shambulizi la ndege zisizo na rubani dhidi ya mji wa Haifa, kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
HAMAS: Marekani ni mshirika wa Israel katika uhalifu wa kivita huko Gaza
Sep 04, 2024 03:29Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema Marekani ni mshirika wa muda mrefu wa jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza, na imeendelea kutoa uungaji mkono wake wa kisiasa, kijeshi na kiusalama kwa utawala huo ghasibu.
-
Walowezi wa Kizayuni wapiga muziki na kufanya ibada zao kwenye eneo la Msikiti wa Ibrahimi
Sep 03, 2024 23:09Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeruhusu maelfu ya walowezi haramu kufanya tamasha la muziki na ibada zao katika eneo la Msikiti wa Ibrahimi ulioko kwenye mji wa Al-Khalil, Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan unaokaliwa kwa mabavu baada ya kuufunga Msikiti huo usitumiwe na Waislamu Wapalestina.
-
Kuongezeka harakati za kundi la al-Qaeda nchini Afghanistan
Sep 03, 2024 23:04Katika ripoti yake, jarida la Foreign Policy limedai kuwa, baada ya kundi la Taliban kutwaa tena udhibiti na madaraka nchini Afghanistan, nyayo na ishara za kundi la kigaidi la Al-Qaeda zinazidi kuonekana na kupanuka katika nchi hiyo. Jarida la Foreign Policy linasema, hilo linatokana na kuwa kundi la Taliban halifanyi juhudi kubwa kwa minajili ya kuyakandamiza makundi ya kigaidi, na hili linasababisha kupanuka wigo wa harakati za makundi kama al-Qaeda nchini Afghanistan.
-
Jumuiya ya MSF yailaumu Israel kwa uharibifu unaoendelea mkabala wa mlipuko wa polio huko Gaza
Sep 03, 2024 08:05Kundi la Misaada la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) linalojulikana pia kama Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka limesisitiza kuwa mashambulizi ya Israel na kuharibiwa miundo mbinu ya Ukanda wa Gaza ndio uliosababisha mlipuko wa polio katika eneo hilo.
-
Takwa la Al-Azhar la kususiwa bidhaa za utawala wa Kizayuni
Sep 03, 2024 05:17Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al Azhar cha Misri kimelaani jinai zinazofanywa na Wazayuni dhidi ya wananchi wa Palestina na kutoa wito kwa Waislamu kususia bidhaa zinazotengenezwa na utawala wa Kizayuni.
-
HAMAS: Netanyahu ameshindwa kufanikisha lengo lolote zaidi ya mauaji ya kizazi
Sep 03, 2024 03:16Harakati ya Mapambano ya Kisilamu ya Palestina HAMAS imesema leo Jumanne kwamba, Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni anawadanganya wafuasi wake na serikali ya Marekani anapodai kupata ushindi katika vita vya Ghaza kwani hajafanikisha lengo hata moja zaidi ya kuua kwa umati na kikatili watu wasio na hatia.