-
Maziko ya Shahidi Ismail Haniyeh yafanyika Qatar
Aug 02, 2024 09:23Maelfu ya watu wamekusanyika leo katika msikiti mmoja huko Doha kutoa heshima zao kwa kiongozi wa kisiasa wa Hamas, shahidi Ismail Haniyeh.
-
Israel imeua Wapalestina 15 katika shambulizi la anga dhidi ya shule ya Gaza
Aug 02, 2024 09:13Wanajeshi katili wa Israel wamefanya shambulizi la anga dhidi ya shule inayowahifadhi Wapalestina waliokimbia makazi yao huko Shejaiya katika mji wa Gaza na kuua takriban watu 15 na kujeruhi makumi ya wengine.
-
Jinai ya kuuliwa kigaidi Haniyeh; matokeo ya kuzembea jamii ya kimataifa mbele ya mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni huko Gaza
Aug 02, 2024 09:02Katika kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichoitishwa kwa ajili ya kujadili mauaji ya kigaidi ya Ismail Haniyeh yaliyofanywa na utawala wa kigaidi wa Israel, viongozi wa baadhi ya nchi wamesisitiza kuwa, mauaji ya mkuu huyo wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas ni natija ya kuzembea jamii ya kimataifa na kutochukua hatua ya kusimamisha mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo huko Gaza.
-
Israel yapata hasara hata kabla ya kuanza majibu ya kulipiza kisasi ya Muqawama, safari za ndege zasimamishwa
Aug 02, 2024 03:09Gazeti la New York Times la nchini Markeani limeripoti kuwa, jana Alkhamisi, safari 18 za ndege za kimataifa zilizokuwa zielekee katika uwanja wa ndege wa Ben Gurion huko Tel Aviv, mji mkuu wa utawala wa Kizayuni zilifutwa.
-
Abdul Malik al Houthi: Jinai za adui zinapelekea kupata nguvu zaidi kambi za Jihadi na Muqawama
Aug 02, 2024 03:08Kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, katika kipindi cha miaka yote hii, wakuu wa Kambi ya Muqawama wamethibitisha kwamba, jinai zinazofanywa na maadui haziwatetereshi hata kidogo, bali zinaongeza tu ari na moyo wao wa Jihadi na Muqawama.
-
Sayyid Hassan Nasrullah: Wazayuni mumefurahi kidogo lakini mtalia sana
Aug 01, 2024 23:19Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, katika kambi ya muqawama, wakuu na makamanda wa kambi hiyo hawajifichi bali wako katikati ya medani ya mapambano na wanakufa shahidi kwenye medani hiyo.
-
Hizbollah yathibitisha kuuawa shahidi Fuad Shukr katika shambulio la anga la Israel
Jul 31, 2024 23:48Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imethibitisha rasmi kuuawa shahidi Fuad Shukr mmoja wa makamanda wake wakuu katika shambulio la anga la Israel kwenye kitongoji kimoja jirani na mji mkuu Beirut.
-
Hizbullah: Mauaji ya Haniya yataimarisha zaidi azma ya wanamapambano ya kukabiliana na adui
Jul 31, 2024 23:46Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa na kusisitiza kwamba, kuuawa shahidi Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya HAMAS kutaimarisha zaidi azma ya wapiganaji wa Muqawama ya kukabiliana na adui Mzayuni.
-
Mwana wa kiume wa Haniya: Wapalestina watapambana mpaka wapate uhuru wao
Jul 31, 2024 23:45Mwana wa kiume wa Shahidi Ismail Haniya, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS ambaye aliuawa katika shambulizi lililofanywa katika mji mkuu wa Iran Tehran, ameapa kuwa Wapalestina "watapambana mpaka wapate uhuru wao."
-
Shahidi Haniyeh; mwanamapambano imara na shupavu
Jul 31, 2024 08:43Shahidi Ismail Haniyeh Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) alikuwa mwanamapambano ambaye alijitolea maisha yake yote katika kuendesha mapambano dhidi ya maadui wa Uislamu.