-
Shahidi Haniyeh; mwanamapambano imara na shupavu
Jul 31, 2024 08:43Shahidi Ismail Haniyeh Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) alikuwa mwanamapambano ambaye alijitolea maisha yake yote katika kuendesha mapambano dhidi ya maadui wa Uislamu.
-
Makundi mbalimbali yalaani mauaji ya Israel dhidi ya Ismail Haniyeh
Jul 31, 2024 05:51Makundi ya mapambano na Muqawama, yamelaani kitendo cha kigaidi cha kuuawa Ismail Haniyeh, mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) kufuatia shambulio dhidi ya sehemu alikofikia mjini Tehran.
-
OXFAM yaonya kuhusu kuendelea jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza
Jul 31, 2024 03:56Shirika la Misaada ya Kibinadamu la OXFAM limeonya kuhusiana na kuendelea jinai za utawala ghasibu wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Kushadidi mvutano baina ya Uturuki na utawala ghasibu wa Israel
Jul 30, 2024 23:34Matamshi ya rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdoğan kuhusu uwezekano wa kuchukua hatua dhidi ya Israel sawa na hatua zilizochukuliwa Karabakh na Libya yameongeza mvutano wa maneno kati ya Ankara na Tel Aviv.
-
UN: Wapalestina Gaza wanahitaji chanjo haraka ili kuzuia polio
Jul 30, 2024 23:10Katika jitihada za kuzuia janga la ugonjwa wa polio huko Gaza, mashirika ya misaada ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa jana Jumanne yalikariri wito wa kufanyika jitihada za kimataifa za kuutaka utawala wa Israel usitishe vita ili kuruhusu kampeni kubwa ya utoaji chanjo kuanza.
-
Mratibu wa UN ataka kuheshimiwa sheria baada ya Israel kushambulia hifadhi ya maji huko Rafah
Jul 30, 2024 04:03Mratibu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Gaza jana alisema kuwa sheria za kimataifa zinapasa kufuatwa baada ya Israel kushambulia hifadhi ya maji ya kunywa huko Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Nusu ya watoto wa Yemen wanasumbuliwa na utapiamlo wa muda mrefu
Jul 29, 2024 22:58Waziri Mkuu wa Yemen, Ahmed Awad bin Mubarak, amefichua kuwa asilimia 50 ya watoto wa nchi hiyo wanasumbuliwa na utapiamlo wa muda mrefu, na kwamba asilimia 21 kati yao wanakabiliwa na udumavu kutokana na tatizo hilo.
-
Mwanajudo wa Algeria akataa kushindana na mwakilishi wa Israel katika Michezo ya Olimpiki ya Paris
Jul 29, 2024 22:58Judoka wa Algeria amekataa kushindana na mwakilishi wa utawala haramu wa Israel katika Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024.
-
HAMAS: Agosti 3 itakuwa Siku ya Kimataifa ya kuunga mkono Ghaza na wafungwa Wapalestina
Jul 29, 2024 03:28Ismail Haniya, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ameitangaza Jumamosi ijayo ya tarehe 3 Agosti kuwa "Siku ya Kitaifa na Kimataifa ya kuwaunga mkono Waghaza na wafungwa Wapalestina" walioko kwenye jela za Israel.
-
Jeshi la utawala wa Kizayuni lafanya shambulio la anga kusini mwa Lebanon
Jul 29, 2024 02:47Ndege za kivita za jeshi la utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine tena zimeshambulia kwa mabomu maeneo tofauti ya kusini mwa Lebanon.