-
Russia: HAMAS haitatoweka, inaungwa mkono na Ulimwengu wa Kiislamu
Jul 28, 2024 23:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema lengo la Israel la kuliondoa vuguvugu la Muqawama wa Palestina la HAMAS kazi "isiyoendana na uhalisia".
-
Syria: Israel yenyewe imeshambulia Majdal Shams ili kupata kisingizio cha kupanua vita
Jul 28, 2024 23:03Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imesema, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umefanya shambulio katika eneo la Majdal Shams lililoko kwenye Miinuko ya Golan inayokaliwa kwa mabavu ili kuhalalisha lengo lake la kutaka kupanua wigo wa vita na uvamizi wake wa kijeshi katika eneo.
-
Mateka wa Kipalestina; kuendelea muqawama sambamba na kushadidi ukatili wa Wazayuni
Jul 28, 2024 11:02Katika hali ambayo, utumiaji mabavu na ukatili wa Wazayuni dhidi ya mateka wa Kipalestina umechukua mkondo na wigo mpana zaidi, mateka wa Kipalestina wameshikamana na muqawama na njia ya kufa shahidi.
-
Lebanon: Hizbullah haijahusika na shambulio la roketi Golan
Jul 28, 2024 03:24Viongozi mbali mbali wa Lebanon wamekanusha vikali madai ya utawala wa Kizayuni wa Israel na vyombo vya habari vya Magharibi eti Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imehusika na shambulio la roketi katika Miinuko ya Golan.
-
Mawaziri wa afya wa Kikanda wakutana kusaidia kukomesha mlipuko wa polio Gaza
Jul 27, 2024 23:45Mawaziri wa afya kutoka eneo la Mashariki ya Mediterania wameungana kwa ajili ya kushughulikia dharura ya polio katika ardhi ya Palestina kwenye Ukanda wa Gaza.
-
62% ya Wazayuni wanataka vita dhidi ya Ghaza vikomeshwe
Jul 27, 2024 08:57Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa na chaneli ya 12 televisheni ya Israel yanaonyesha kuwa asilimia 62 ya Wazayuni wanataka kukomeshwa vita dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
-
Ripoti ya mashirika ya UN: Ghaza ina hali mbaya zaidi ya uhaba wa chakula duniani
Jul 27, 2024 08:05Ripoti mpya ya pamoja iliyotolewa na mashirika matano ya Umoja wa Mataifa imeeleza kuwa Ukanda Ghaza uliowekewa mzingiro na kuzuiliwa na jeshi la Kizayuni kuingiziwa misaada ya chakula, ndilo eneo linalokabiliwa na hali mbaya zaidi ya ukosefu wa chakula duniani.
-
Marekani na UK zafanya mashambulizi ya anga katika mji wa Hudaydah huko Yemen
Jul 27, 2024 03:43Marekani na Uingereza zimefanya mashambulia ya anga dhidi ya Bandari ya al Hudaydah iliyoko magharibi mwa Yemen.
-
Umoja wa Mataifa: Hali katika Ukanda wa Gaza ni maafa kikamilifu
Jul 26, 2024 23:03Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, hali katika Ukanda wa Gaza iliyosababishwa na mashambulizi ya Israel ni maafa kamili ambayo hayajawahi kuonekana katika medani yoyote ya vita.
-
HAMAS: Kauli ya Marekani ni uongo mtupu, Wapalestina Ghaza wanauawa kwa silaha zake
Jul 26, 2024 09:29Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema: "Madai ya Washington kwamba inatiwa wasiwasi na hali ya kibinadamu na inasikitishwa na machungu na mateso wanayopata watu wa Ghaza ni uongo wa Kimarekani".