-
Kiwewe cha shambulizi la kilipiza kisasi la Iran; Safari zote za ndege za Marekani kwenda Israel zafutwa
Aug 18, 2024 23:38Shirika la Redio na Televisheni la Israel limetangaza kuwa safari zote za ndege za Marekani kuelekea katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) zimefutwa.
-
Israel yaendelea kufanya mashambulio ya anga dhidi ya Ukanda wa Gaza
Aug 18, 2024 23:23Mashambulio ya kinyama ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza yameendelea kuripotiwa.
-
Mazuwari waendelea kumiminika Karbala kwa ajili ya kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein (as)
Aug 18, 2024 09:31Mazuwari kutoka maeneo mbalimbali ndani ya Iraq na maeneo mengine ya dunia wameendelea kumiminika katika mji wa Karbala kwa ajili ya kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein (as).
-
Mama, watoto wake sita, miongoni mwa Wapalestina kadhaa waliouawa shahidi leo Ghaza
Aug 18, 2024 08:45Wapalestina wasiopungua 21, akiwemo mama na watoto wake sita, wameuawa shahidi leo wakati jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel liliposhambulia maeneo kadhaa katika Ukanda wa Ghaza.
-
HAMAS: Marekani haina nia ya kweli ya kuhitimisha vita vya Ghaza
Aug 18, 2024 08:44Kiongozi Mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, Marekani haina nia ya kweli ya kufanikisha ukomeshaji vita dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
-
Wazayuni milioni moja wakimbilia Ulaya na Marekani kufuatia "Kimbunga cha al Aqsa"
Aug 18, 2024 03:44Wazayuni milioni moja wamekimbia makazi yao katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kuelekea Marekani na katika nchi mbalimbali za Ulaya kufuatia oparesheni ya Kimbunga cha al Aqsa.
-
Hamas: Utawala wa Kizayuni haujui lolote isipokuwa kuuwa wanawake na watoto
Aug 17, 2024 22:59Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiisamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa utawala wa Israel unaotekeleza mauaji ya kimbari haujui lolote jingine isipokuwa kuwashambulia na kuwauwa wanawake na watoto wasio na hatia.
-
Wazayuni waingiwa kiwewe na hofu kutokana na uwezo wa makombora ya Hizbullah
Aug 17, 2024 22:54Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, kwa mara ya kwanza, imeonyesha picha na video za miji yake ya makombora, ambayo ni ishara ya uwezo wa Muqawama kwa ajili ya kujihama, jambo ambalo limesababisha hofu na wahka miongoni mwa Wazayuni.
-
Jeshi katili la Israel laua watu 15 wa familia moja wakiwemo watoto 9 Az-Zawayda, Ghaza
Aug 17, 2024 07:03Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limewaua shahidi Wapalestina wasiopungua 16 wakiwemo jamaa 15 wa familia moja, tisa kati yao wakiwa ni watoto wadogo, katika shambulizi la kinyama lililolenga watu waliolazimika kuhama makazi yao katika eneo la Az-Zawayda katikati mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Mamilioni waandamana Yemen kuunga mkono Wapalestina wa Gaza
Aug 17, 2024 03:44Mamilioni ya wananchi wa maeneo tofauti ya Yemen wameandamana na kusisitiza himaya na uungaji mkono wao kwa taifa la Palestina hususan wa Gaza.