-
Jeshi la Israel ndilo jeshi lenye maadili machafu zaidi duniani
Jul 09, 2024 23:28Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, jeshi la Israel ndilo jeshi lenye maadili machafu zaidi duniani na kusisitiza kuwa, uungaji mkono wa Hizbullah kwa wananchi wanaodhulumiwa wa Ghaza utaendelea hadi taifa la Palestina litakapojikomboa.
-
Shirika la Afya Duniani: Ukanda wote wa Gaza sio salama
Jul 09, 2024 22:57Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema kuwa, hali ya usafi ya Ukanda wa Gaza sio nzuri na hakuna mahali salama katika eneo hili.
-
Iran: Uzayuni ni dhihirisho la ubaguzi wa rangi
Jul 09, 2024 08:52Balozi na Mwakilishi wa Iran katika taasisi za kimataifa zenye makao yake mjini Geneva, Uswisi ameutaja Uzayuni kuwa dhihirisho la ubaguzi.
-
Lapid: Netanyahu amepoteza udhibiti wa serikali, vita haviwezi kuendelea milele
Jul 09, 2024 07:11Kiongozi wa upinzani wa Israel, There Is a Future, amesema leo Jumanne kwamba Waziri Mkuu wa utawala huo wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu, amepoteza udhibiti wa vita, uhusiano wa kigeni na wa serikali yake, kwa sababu kila mtu ndani ya serikali yake anafanya anachopenda.
-
Hamas: Utawala wa Kizayuni abadan hauwezi kuwapigisha magoti Wapalestina
Jul 09, 2024 04:16Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeashiria kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina na kusema, Wazayuni kamwe hawawezi kuwapigisha magoti wananchi wa Palestina.
-
Lancet: Wapalestina waliouawa Gaza wanapindukia 186,000
Jul 09, 2024 03:35Jarida mashuhuri la masuala ya tiba na afya la The Lancet la Uingereza limeripoti kuwa, yumkini idadi halisi ya Wapalestina waliouawa shahidi katika mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza inazidi watu 186,000.
-
Mtego wa Marekani kwa Saudi Arabia nchini Yemen
Jul 09, 2024 02:30Seyyid Abdul Malik al-Houthi, Kiongozi wa Ansarullah ya Yemen, amesema katika hotuba kwamba Marekani inajaribu kuisukuma tena Saudi Arabia katika vita vya pande zote na Yemen.
-
Shirika la haki za binadamu: Makumi ya maelfu ya majeruhi na wagonjwa huko Gaza wanakabiliwa na hatari ya kifo
Jul 08, 2024 22:55Shirika la haki za binadamu la Ulaya na Mediterania limetahadharisha kuwa majeruhi na wagonjwa wa Kipalestina zaidi ya elfu 26 wanakabiliwa na hatari ya kifo huko Ukanda wa Gaza kufuatia kuendelea mashambulizi ya jeshi la Israel.
-
Sayyid Nasrullah: Jinai za Israel Ghaza zimeamsha hisia za utu katika nchi za Magharibi
Jul 08, 2024 07:12Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, jinai kubwa na ambazo hazijawahi kushuhudiwa mfano wake zinazofanywa na utawala katili wa Israel huko Ghaza, zimeamsha hisia za utu na ubinadamu katika nchi za Magharibi.
-
Israel yaendelea kufanya jinai Ghaza na Ukingo wa Magharibi, yapiga hospitali kwa makombora
Jul 08, 2024 07:12Utawala katili na pandikizi wa Kizayuni umeendelea kufanya jinai na mauaji ya kutisha dhidi ya wananchi wasio na hatia wa Palestina katika Ukanda wa Ghaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.