-
Jeshi la Kizayuni lakiri kushambulia skuli ya UNRWA Ghaza na kuua Wapalestina 32 wakiwemo watoto
Jun 06, 2024 03:21Jeshi la anga la utawala wa Kizayuni wa Israel alfajiri ya kuamkia leo limeshambulia kwa makombora skuli ya Umoja wa Mataifa katika kambi ya Nuseirat katikati mwa Ukanda wa Ghaza na kuwaua shahidi Wapalestina wasiopungua 32 wakiwemo watoto na wanawake na kujeruhi makumi ya wengine.
-
Mamia ya Walebanon wameuawa shahidi katika mashambulio ya utawala wa Kizayuni
Jun 06, 2024 03:20Wizara ya Afya ya Lebanon imetangaza kuwa watu 400 wameuawa shahidi tangu jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel lilipoanzisha mashambulizi dhidi ya nchi hiyo mwezi Oktoba, 2023.
-
Yemen yashambulia kwa droni na makombora meli tatu ikiwemo ya Marekani kuunga mkono Ghaza
Jun 06, 2024 03:19Vikosi vya Jeshi la Yemen vimetekeleza operesheni mbili mpya za mashambulio kwa lengo la kuwaunga mkono Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza wanaohimili vita vya mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel, na operesheni ya tatu dhidi ya Marekani kujibu uchokozi wa nchi hiyo dhidi ya Yemen.
-
OIC yalaani 'maandamano ya bendera' ya Israel ya kusherehekea kuivamia Quds Mashariki
Jun 06, 2024 03:19Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani 'maandamano ya bendera' ya utawala wa Kizayuni wa Israel yaliyofanyika jana Jumatano Baitul Muqaddas Mashariki kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuuvamia na kuanza kuukalia kwa mabavu mji huo mwaka 1967.
-
Türk: Zaidi ya wapalestina 500 wauawa Ukingo wa Magharibi tangu Oktoba 7
Jun 05, 2024 07:53Vita vya mauaji ya kimbari vinavyoendelezwa na utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza vimeenea hadi eneo linalokaliwa kwa mabavu na Israeli la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan ambako sasa imeripotiwa kuwa zaidi ya wapalestina 500 kwenye ukingo huo wameuawa tangu kuanza vita tarehe 7 mwezi Oktoba mwaka jana.
-
Kiwango cha mabomu iliyodondosha Israel Ghaza kimevuka cha Vita Vikuu vya Pili vya Dunia
Jun 05, 2024 03:52Utawala wa Kizayuni wa Israel umedondosha zaidi ya tani 70,000 za mabomu kwenye ardhi ya Ukanda wa Ghaza tangu Oktoba mwaka jana, kiwango ambacho ni kikubwa zaidi kulinganisha na mabomu yaliyodondoshwa kwenye miji ya Dresden, Hamburg, na London kwa pamoja wakati wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia.
-
Hizbullah: Kama Israel inataka kuingia kwenye vita kamili, sisi tuko tayari kwa hilo
Jun 05, 2024 03:40Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema: "sisi tuko tayari kwa vita kamili na vya pande zote na utawala wa Kizayuni".
-
Watoto 15,000 wameuawa shahidi tangu Israel ianzishe mashambulio ya kinyama Gaza
Jun 04, 2024 23:44Watoto 15,000 wengi wao wakiwa wanafunzi wa shule na chekechea, wameuawa shahidi huko Gaza Palestina tangu utawala haramu wa Israel ulipoanzisha hujuma na mashambulio ya kinyama katika Ukanda huo Oktoba mwaka jana (2023).
-
Uchambuzi wa matamshi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kuhusu Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa
Jun 04, 2024 23:17Akizungumza siku ya Jumatatu katika maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka wa 35 wa kifo cha Imam Khomeini (MA), mwanzilishi wa Mapinduzi na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Ayatullah Ali Khamenei Kiongozi wa Mapinduzi wa Kiislamu ametoa nadharia nyingine kuhusu Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa.
-
Hamas ni sehemu ya msingi ya kisiasa ya Gaza, haiwezi kupuuzwa
Jun 04, 2024 08:33Mjumbe wa ngazi za juu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amesema harakati hiyo yenye makao yake Gaza ni sehemu isiyoweza kutenganishwa katika mazingira ya kisiasa ya Gaza.