-
Israel yaendelea kumwaga damu za Wapalestina Jenin, Jabalia
Jul 05, 2024 23:07Wakazi watano wa mji wa Jenin ni miongoni mwa makumi ya Wapalestina waliouawa shahidi kwa kupigwa risasi na kushambuliwa kwa mabomu na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika maeneo mbali mbali ya Palestina jana Ijumaa.
-
Hali si hali Israel; Kamanda Mzayuni: Tuko tayari kusimamisha vita Ghaza kwa gharama yoyote
Jul 05, 2024 06:52Huku baadhi ya duru za utawala wa Kizayuni zikisema kwamba, matumaini ya kufikiwa makubaliano ya kusimamisha vita na HAMAS yameongezeka, jeshi lililochoka la Israel limetangaza kuwa liko tayari kukubali kusimamisha vita kwa gharama yoyote ile.
-
Al Houthi: Manuwari zinazobeba ndege za kivita za Marekani ni mfumo wa kizamani wa silaha ya vita
Jul 05, 2024 04:00Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amevipongeza vikosi vya wanamaji vya nchi hiyo kwa operesheni za baharini dhidi ya meli zenye uhusiano na Israel katika Bahari Nyekundu.
-
Hizbullah yashambulia Israel kwa makombora baada ya kamanda wake kuuawa
Jul 04, 2024 22:47Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeshambulia kwa mamia ya makombora kambi kadhaa za kijeshi za utawala wa Kizayuni Israel huko kaskazini mwa ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel, kujibu chokochoko za jeshi hilo katili.
-
Matokeo ya miezi 9 ya mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni huko Gaza
Jul 04, 2024 22:38Vita vya mauaji ya kizazi vya utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza vimemaliza mwezi wake wa tisa na kuiingia katika mwezi wa kumi kutokana na uzembe wa jamii ya kimataifa wa kutofanya lolote la maana kwa ajili ya kusimamisha mauaji hayo.
-
Makamanda wa Israel: Wanajeshi wamechoshwa na vita Ukanda wa Gaza
Jul 03, 2024 22:56Makamanda wa ngazi ya juu wa jeshi la utawala ghasibu wa Israel wametahadharisha kuwa wanajeshi wa utawala huo wanakabiliwa na uchovu katika Ukanda wa Gaza.
-
Wanajeshi 2 wa Israel waangamizwa kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu
Jul 03, 2024 22:55Wanajeshi wawili wa utawala wa Kizayuni wa Israel waliangamizwa jana katika oparesheni iliyotekelezwa na wanamapambano wa kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Mashambulizi ya Ndege zisizo na Rubani za Israel kwenye kambi ya Noor Shams
Jul 03, 2024 22:49Ripoti zinasema kuwa, Wapalestina wanne wameuawa shahidi katika shambulio la ndege zisizo na rubani za Israel kwenye kambi ya Noor Shams kwenye Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Wapalestina 250,000 walazimika kuwa wakimbizi huko Khan Yunis
Jul 03, 2024 03:51Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza kuwa watu 250,000 wamelazimishwa na utawala wa Kizayuni kuyahama makazi yao katika mji wa Khan Yunis, na kuwa hakuna sehemu salama kwao katika eneo hilo.
-
Hizbullah: Usitishaji vita Gaza, njia pekee ya kutuliza hali mipaka ya Lebanon
Jul 03, 2024 03:15Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema usitishaji kamili wa vita katika Ukanda wa Gaza ndio njia pekee ya kupatikana amani katika mipaka ya Lebanon na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.