-
Wanajeshi 2 wa Israel waangamizwa kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu
Jul 03, 2024 22:55Wanajeshi wawili wa utawala wa Kizayuni wa Israel waliangamizwa jana katika oparesheni iliyotekelezwa na wanamapambano wa kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Mashambulizi ya Ndege zisizo na Rubani za Israel kwenye kambi ya Noor Shams
Jul 03, 2024 22:49Ripoti zinasema kuwa, Wapalestina wanne wameuawa shahidi katika shambulio la ndege zisizo na rubani za Israel kwenye kambi ya Noor Shams kwenye Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Wapalestina 250,000 walazimika kuwa wakimbizi huko Khan Yunis
Jul 03, 2024 03:51Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza kuwa watu 250,000 wamelazimishwa na utawala wa Kizayuni kuyahama makazi yao katika mji wa Khan Yunis, na kuwa hakuna sehemu salama kwao katika eneo hilo.
-
Hizbullah: Usitishaji vita Gaza, njia pekee ya kutuliza hali mipaka ya Lebanon
Jul 03, 2024 03:15Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema usitishaji kamili wa vita katika Ukanda wa Gaza ndio njia pekee ya kupatikana amani katika mipaka ya Lebanon na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Ripota wa UN aipongeza Uhispania kwa kujiunga na kesi ya mauaji ya halaiki ya Afrika Kusini dhidi ya Israel
Jul 02, 2024 23:20Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu katika ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu ameipongeza Uhispania kwa kuunga mkono kesi ya Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) inayoituhumu Israel kuwa imefanya mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Gaza.
-
Mwanadiplomasia wa Iran atahadharisha kuhusu taathira za vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon
Jul 02, 2024 08:23Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ambaye pia ni Mkuu wa Baraza la Kistratejia la Uhusiano wa Nje la Iran ametahadharisha kuhusu mashambulizi yanayoweza kuanzishwa na utawala unaotekeleza mauaji ya kimbari wa Israel dhidi ya Lebanon.
-
Jeshi la Yemen lashambulia meli 4 zenye mfungamano na Israel, Marekani, Uingereza
Jul 02, 2024 08:17Vikosi vya ulinzi vya Yemen vimetekeleza oparesheni kadhaa za kijeshi na kuzipiga kwa makombora meli nne katika Bahari Nyekundu, Arabian Sea, Mediterania na Hindi katika kuonyesha mshikamano na raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Kukosoa Umoja wa Mataifa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu
Jul 02, 2024 08:05Uamuzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kuendeleza ujenzi wa vitongoji vyay walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu umekosolewa na Umoja wa Mataifa.
-
Jeshi la Israel lasema liko tayari kusimamisha vita dhidi ya Gaza mwezi huu
Jul 02, 2024 04:24Maafisa wa kisiasa wa utawala ghasibu wa Israel wamesema jeshi la utawala huo liko tayari kutekeleza hatua kwa hatua hatua ya tatu na hatimaye kuhitimisha vita dhidi ya Ukanda wa Gaza mwezi huu wa Julai.
-
Zaidi ya waandishi wa habari 150 wameshauawa shahidi katika vita vya Gaza
Jul 02, 2024 02:15Ofisi ya upashaji habari ya serikali ya Gaza huko Palestina imetangaza kuwa, zaidi ya waandishi wa habari 150 wameshauawa shahidi kwenye ukanda huo tangu utawala wa Kizayuni ulipoanzisha mashambulizi ya pande zote, Oktoba 7, 2023.