-
Kung'ang'ania vita bila ya malengo; jinai baada ya jinai nyingine
Jun 29, 2024 22:43Vita vinaendelea huko Ukanda wa Gaza huku jeshi linalokalia kwa mabavu (Israel) likikabiliwa na ukosefu wa shabaha na kushambulia sehemu yoyote bila malengo.
-
OIC yatahadharisha kuhusu ujenzi wa vitongoji vya walowezi unaofanywa na Israel
Jun 29, 2024 09:06Katika radiamali yake kwa hatua mpya ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imesema kuwa kitendo hicho cha Israel ni muendelezo wa maangamizi ya kizazi na mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.
-
Wazayuni washambulia mahema ya wakimbizi wa Kipalestina kusini mwa Gaza
Jun 29, 2024 08:17Wanajeshi wa utawala haramu wa Israel waliokuwa wamejizatiti kwa vifaru wamevamia mahema ya wakimbizi wa Kipalestina katika eneo la al Mawasi kaskazini magharibi mwa Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Harakati za Kiislamu za Yemen na Iraq zashirikiana tena kuupiga utawala wa Kizayuni
Jun 28, 2024 22:56Wanamapambano shupavu wa harakati za Kiislamu za Iraq na Yemen kwa mara nyingine tena wameshirikiana katika operesheni ya kuyapiga maeneo ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel: Israel inapaswa kukomesha mauaji ya kimbari ya watu wa Palestina
Jun 28, 2024 22:55Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel wa Uingereza amesema kuwa, amani kwa Wapalestina inawezekana tu iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utakomesha siasa za ubaguzi wa rangi na mauaji ya kimbari.
-
HRW yakosoa kucheleweshwa kutiwa mbaroni Benjamin Netanyahu
Jun 28, 2024 05:47Mkuu wa Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch kwa barani Ulaya ameikosoa mahakama ya kimataifa ya ICC kwa kuchelewa kumtia mbaroni waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu kwa jinai zake za kutisha dhidi ya Wapalestina.
-
Shirika la UNRWA laonya kuhusu uhaba wa bidhaa za chakula Gaza
Jun 28, 2024 03:48Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limeonya kuhusiana na uhaba mkubwa wa bidhaa za chakula unaolikabili eneo la Ukanda wa Gaza, Palestina.
-
Siasa za kindumakuwili za Biden kuhusu vita vya Gaza
Jun 27, 2024 23:48Harrison Mann, afisa wa ujasusi katika jeshi la Marekani, ambaye alijiuzulu karibuni katika kupinga uungaji mkono wa Washington kwa utawala wa Kizayuni katika vita vyake vya mauaji ya umati dhidi ya watu wa Palestina huko Gaza, aliiambia Al Jazeera ya Qatar siku ya Jumanne usiku kwamba: "Kama usingekuwa uungaji mkono wa Marekani kwa Israel, vita vya Gaza visingeliendelea kwa nguvu hizi."
-
Hizbullah ya Lebanon yaendelea kushambulia maeneo ya jeshi la utawala wa Kizayuni
Jun 27, 2024 04:37Wapiganaji wa Hizbullah ya Lebanon kwa mara nyingine tena wamelenga na kusababisha maafa na uharibifu mkubwa katika maeneo ya wanajeshi wa Kizayuni kwenye mpaka wa nchi hiyo na Palestina inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Yemen yasambaza video ya kushambulia meli ya Israel kwa kombora la 'balestiki la hypersonic'
Jun 27, 2024 04:03Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen vimesambaza video inayoonyesha kutumiwa kombora la balestiki la hypersonic dhidi ya meli ya Israeli katika Bahari ya Arabia. Vikosi hivyo vilisambaza video hiyo siku ya Jumatano, vikisema kombora lililotumika linaitwa "Hatem-2" na kwamba meli iliyolengwa ni "MSC SARAH V."