-
Haaretz: Uharibifu wa Gaza unafanana na "hali ya baada ya bomu la atomiki"
Feb 10, 2024 03:52Gazeti la Israel la Haaretz limetumia picha za angani za kabla na baada ya vita vinavyoendelea kwenye Ukanda wa Gaza, kuashiria ukubwa wa uharibifu uliosababishwa na jeshi la Israel, likieleza hali hiyo ya uharibifu mkubwa kuwa ni sawa na ile ya baada ya bomu la atomiki.
-
UNRWA: Mashambulizi ya Israel dhidi ya Rafah ni 'kichocheo cha maafa'
Feb 09, 2024 23:20Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limeonya kwamba mashambulizi ya utawala haramu wa Israel dhidi ya mji wa mpakani wa Rafah wenye msongamano mkubwa wa watu Gaza yatakuwa "kichocheo cha maafa."
-
Marekani mhusika wa kuendelea mauaji ya kimbari ya Wazayuni Ukanda wa Gaza
Feb 09, 2024 22:59Himaya na uungaji mkono wa madola ya Magharibi hususan Marekani kwa utawala haramu wa Israel kivitendo umezuia kusitishwa vita na hilo kuandaa uwanja wa kuendelea kuuawa Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Mkutano wa mawaziri wa Kiarabu Riyadh wataka kuhitimishwa vita vya Gaza
Feb 09, 2024 09:04Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa mataifa matano ya Kiarabu walmekutana Riyadh mji mkuu wa Saudi Arabia na kuutoa mwito wa kusitishwa vita huko Gaza.
-
Waziri Mkuu wa Malaysia: Marekani inashiriki katika mauaji ya Gaza, nchi za Magharibi ni wanafiki
Feb 09, 2024 04:43Waziri Mkuu wa Malaysia ametoa wito kwa madola ya Magharibi yanayoiunga mkono Israel kukomesha kile alichosema ni "kushiriki katika mauaji ya vichanga, watoto wanawake na raia." Anwar Ibrahim pia ameitaka Marekani kuiwekea mashinikizo Israel ili ikomeshe uadui na kusitisha mauaji ya watu wa Palestina.
-
Kuongezeka matatizo ya akili ya askari wa Kizayuni; Matokeo ya wazi ya vita vya Gaza
Feb 08, 2024 23:19Kurefushwa kwa vita vya Gaza kumesababisha ongezeko la matatizo ya kisaikolojia kwa wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel na hivyo wanahitaji matibabu ya kiakili au kisaikolojia.
-
HAMAS na Jihad al Islami zalaani mashambulizi ya Marekani dhidi ya muqawama wa Iraq
Feb 08, 2024 03:53Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS na ile ya Jihadul Islami zimetoa taarifa tofauti na kulaani shambulizi la Marekani dhidi ya wanamapambano wa Iraq, mashariki mwa mji mkuu, Baghdad.
-
Hamas: Njia pekee ya kupatikana utulivu katika eneo hili ni kuundwa taifa la Palestina mji mkuu ukiwa ni Quds
Feb 08, 2024 03:43Osama Hamdan, mmoja wa viongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hamas amesema: Njia pekee ya kupatika utulivu kwenye ukanda huu mzima ni kusimamishwa vita, kukomeshwa uvamizi na kuundwa nchi huru ya Palestina ambayo mji mkuu wake ni Quds Tukufu.
-
OCHA: Yamkini Israel inatenda uhalifu wa kivita huko Rafah
Feb 07, 2024 07:31Hatua yoyote ya utawala haramu wa Israel ya kuendeleza uvamizi wake kamili wa Gaza hadi katika mji wa kusini wa Rafah wenye msongamano mkubwa wa watu inaweza kusababisha uhalifu wa kivita ambao lazima uzuiwe kwa gharama yoyote.
-
Makampuni makubwa duniani yakata uhusiano wa kijeshi na Israel kufuatia mauaji ya kimbari Gaza
Feb 07, 2024 07:23Makampuni makubwa duniani kote yameanza kukata uhusiano na utawala haramu wa Israel baada ya uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) mwezi uliopita kwamba mauaji ya yanayotekelezwa na Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza ni sawa na mauaji ya kimbari.