-
Wanajeshi wa Israel waliovalia sare za madaktari na wauguzi wamewaua shahidi Wapalestina 3 Jenin
Jan 30, 2024 07:59Ripoti kutoka eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan zinaeleza kuwa wanajeshi 10 wa Israel waliokuwa wamevalia sare za madaktari na wauguzi mapema leo Jumanne waliivamia hospitali ya Ibn Sina katika mji wa Jenin na kuwauwa shahidi vijana watatu wa Kipalestina kwa kutumia bunduki zilizowekwa kifaa cha kupunguza mlio wa sauti za risasi.
-
Sababu za Israel kupenda vita vienee eneo zima la Asia Magharibi
Jan 29, 2024 23:14Duru mbalimbali za habari zimeripoti kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unafanya njama za kila namna za kutaka vita vienee kwenye eneo zima la Asia Magharibi.
-
Kan'ani: Iran inakaribisha juhudi za kuimarisha utulivu na usalama Magharibi mwa Asia
Jan 29, 2024 23:13Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Iran inakaribisha na kuunga mkono juhudi za kuimarisha utulivu na usalama katika eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Yemen yalenga meli ya kivita ya Marekani katika Ghuba ya Aden ili kuunga mkono Palestina
Jan 29, 2024 09:25Vikosi vya Jeshi la Yemen vimefanya shambulio jipya dhidi ya meli ya kivita ya Marekani katika Ghuba ya Aden katika kuonyesha uungaji mkono kwa Wapalestina wa Ukanda wa Gaza, ambao wanaendelea kukabiliwa na mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaosaidiwa na kuungwa mkono kikamilifu na Marekani.
-
Pendekezo jipya kwa Israel na Hamas la kusimamisha mapigano kwa miezi minne
Jan 29, 2024 02:51Shirika la habari la Anadolu la Uturuki limelinukuu Jarida la Wall Street Journal na kuripoti kuwa nchi patanishi zimewasilisha pendekezo la kusitisha mapigano kwa miezi 4 kati ya harakati ya Hamas na utawala wa Kizayuni ikiwa ni pamoja na kuachiwa huru mateka wote wa upande wa utawala wa Kizayuni.
-
Askari 3 wa Marekani wauawa, 30 wajeruhiwa Jordan; Muqawama wa Iraq wathibitisha kuhusika
Jan 29, 2024 00:19Askari watatu wa jeshi la Marekani wameuawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani kwenye kambi ndogo ya jeshi hilo iliyoko nchini Jordan.
-
HAMAS: Netanyahu anataka kurefusha vita vya Gaza kwa malengo ya kisiasa
Jan 28, 2024 23:34Mwanachama mwandamizi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kundi hilo la muqawama linataka usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza, lakini Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu anataka vita hivyo viendelee kutokana na sababu zake binafsi na za kisiasa.
-
UNRWA yakosoa "Adhabu ya Pamoja' dhidi ya Wapalestina milioni mbili Gaza
Jan 28, 2024 23:32IQNA - Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi la Palestina UNRWA amesema kuwa uamuzi wa baadhi ya nchi za Magharibi kusitisha misaada ya kifedha kwa shirika hilo ni sawa na "adhabu ya pamoja" ambayo itapunguza misaada ya kuokoa maisha kwa watu milioni mbili huko Gaza.
-
WSJ: 80% ya handaki za HAMAS huko Gaza zingali zinafanya kazi
Jan 28, 2024 09:55Gazeti la Wall Street Journal la Marekani limeripoti kuwa, asilimia 80 ya njia za chini kwa chini za Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS katika Ukanda wa Gaza zingali zinafanya kazi, licha ya mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni dhidi ya eneo hilo lililozingirwa, tokea Oktoba 7, 2023.
-
Wayemeni waunga mkono mashambulizi dhidi ya meli zinazoelekea Israel
Jan 28, 2024 04:14Kwa mara nyingine tena mamilioni ya wananchi wa Yemen wamefanya maandamano makubwa na kutangaza uungaji mkono wao kwa wananchi wanaodhulumiwa wa Ukanda wa Gaza na vilevile hatua za kijeshi dhidi ya meli inazoelekea ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina.