-
China yataka kuweko amani jumuishi na athirifu huko Palestina
Jan 15, 2024 23:47Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa China ametoa mwito wa kuwepo amani jumuishi na athirifu huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Msemaji wa jeshi la Israel akiri, makombora ya Hizbullah yameuathiri utawala huo
Jan 15, 2024 10:44Msemaji wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa mashambulizi ya makombora ya harakati ya Hizbullah ya Lebanon huko kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) yamekwua na ufanisi na kulenga shabaha.
-
Sheikh Issa Qassim: Kushiriki Bahrain katika muungano wa baharini wa Marekani dhidi ya Yemen ni "aibu"
Jan 15, 2024 10:19Sheikh Issa Qassim Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain ameitaja hatua ya Manama ya kushiriki katika muungano wa baharini unaoongozwa na Marekani katika Bahari ya Sham dhidi ya Yemen kuwa ni kitendo kibaya, chenye kutia uchungu na cha fedheha.
-
Sheikh Shahriyari: Ni haramu kushirikiana kwa namna yoyote na utawala dhalimu wa Israel
Jan 15, 2024 01:04Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema kuwa, ni haramu kushirikiana kwa namna yoyote ile na utawala ghasibu wa Israel na kuudhaminia mahitaji yake.
-
Idadi ya wanajeshi wa Israel walioangamizwa na muqawama yafika 522
Jan 15, 2024 01:04Utawala wa Kizayuni wa Israel umetangaza kuwa, idadi ya askari wake waliouawa hadi sasa tangu ilipototekelezwa operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa imefikia 522.
-
UN: "Siku 100 za mashambulizi ya Israel huko Gaza zinahisika kama miaka 100" kwa Wapalestina
Jan 15, 2024 01:03Philippe Lazzarini, Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA), amesema siku 100 zilizopita za mashambulizi ya Israel huko Ukanda wa Gaza zimekuwa kama miaka 100 kwa watu wa Gaza.
-
New York Times: Ansarullah bado ina uwezo wa kushambulia meli za Israel
Jan 15, 2024 01:02Gazeti la New York Times limewanukuu maafisa wawili wa kijeshi wa Marekani, wakisema kwamba harakati ya Ansarullah ya Yemen bado ina takriban robo tatu ya uwezo wake wa kurusha makombora na ndege zisizo na rubani dhidi ya meli zinazopita Bahari Nyekundu kuelekea Israel.
-
Matokeo ya Kimbunga cha Al-Aqsa ni dhihirisho la kusimama kidete Muqawama na kutengwa Israel
Jan 15, 2024 01:01Baada ya kupita siku 100 tangu Operesheni ya Kimbunga cha Al Aqsa ilipoanza, athari za kusimama kidete harakati za mapambano ya ukombozi au muqawama na kuzidi kutengwa utawala wa Kizayuni wa Israel zinazidi kudhihirika katika maoni ya umma duniani.
-
Sayyid Nasrullah: Taarifa zetu zinathibitisha kuangamizwa Wazayani katika kituo cha Meron
Jan 14, 2024 12:54Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah amesema kuwa harakati hiyo ya Muqawama imerusha roketi 62, yakiwemo maroketi 20 ya Katyusha na makumi ya makombora ya Kornet yenye uwezo mpya, ambayo yamelenga shabaha huko Meron, kaskazini mwa Israel, na kwamba filamu iliyorushwa mitandaoni na Hizbullah haifichui ukweli wote.
-
Makubaliano ya pamoja ya Wayemen ya kukabiliana na muungano wa kijeshi wa Marekani
Jan 14, 2024 06:13Hatua ya Marekani na Uingereza ya kuishambulia kijeshi Yemen imekabiliwa na malalamiko makubwa ya wananchi na onyo kali la viongozi wa nchi hiyo.