-
HAMAS: Borrell anapindua ukweli wa mambo kuhusu Ghaza
Nov 13, 2023 10:14Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kuwa, matamshi ya mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya dhidi ya makundi ya muqawama ni kupindua uhakika wa mambo na ni kujaribu kufunika jinai za utawala wa Kizayuni.
-
Hamas: Gaza haitatawaliwa na yeyote isipokuwa wakazi wake
Nov 13, 2023 02:31Afisa wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amepuuzilia mbali madai ya utawala haramu wa Israel na baadhi ya waungaji mkono wake wa Magharibi kuhusu Gaza kutawaliwa na mamlaka iliyo nje ya eneo hilo baada ya kumalizika vita vya maangamizi ya umati vinavyoendelezwa na Israel.
-
Nukta mbili mpya katika hotuba ya Sayyid Hassan Nasrullah kuhusu vita vya Gaza
Nov 13, 2023 01:51Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon juzi Jumamosi alitoa hotuba yake ya pili kuhusu vita vya Gaza kwa mnasaba wa Siku ya Mashahidi. Hotuba hiyo ambayo imetolewa wiki moja baada ya ile ya kwanza ina nukta mbili muhimu za kuzingatiwa.
-
UNICEF yatoa mwito wa kusitishwa mashambulio na jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza
Nov 12, 2023 23:21Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetoa mwito wa kusitishwa mara moja hujuma, mashambulio na jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
Venezuela yaalani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Gaza
Nov 12, 2023 10:20Serikali ya Venezuela imetoa taarifa na kulaani jinai na mashambulizi ya utawala ghasibu wa Kizayuni dhidi ya raia wa Ukanda wa Gaza.
-
Umuhimu wa nchi za Kiislamu kuchukua hatua za kivitendo kwa ajili ya kuwatetea watu wa Palestina
Nov 12, 2023 06:30Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika hotuba yake katika kikao cha dharura cha wakuu wa nchi za Kiarabu na Kiislamu mjini Riyadh Saudi Arabia amesema kuhusu vita vya Ghaza: Leo hii suala la Ghaza ni makabiliano baina ya mhimili wa sharafu na mhimili wa uovu, na kila mtu anapaswa kubainisha yuko upande gani.
-
Hizbullah yasema imetumia makombora mapya ya Burkan katika vita na Israel
Nov 12, 2023 03:29Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema wapiganaji wa harakati hiyo ya Muqawama wa Kiislamu wameanza kutumia silaha mpya, likiwemo kombora lenye kichwa kizito katika mapigano yanayoendelea mpakani mwa Lebanon na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel), na kuongeza kuwa wataendelea kutumia mpaka huo wenye mvutano kuishinikiza Israel.
-
Raisi katika mazungumzo na Bashar Assad: Nguvu ya mapambano ndio kigezo kikuu
Nov 12, 2023 03:09Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Syria wamesisitiza katika mazungumzo yao kuwa nguvu na uwezo wa mapambano ndio kigezo kikuu na cha mwisho kinachopasa kuzingatiwa na Waislamu.
-
Mauaji na uharibifu wa makusudi; kusambaratishwa mfumo wa afya na matibabu Gaza
Nov 12, 2023 02:49Utawala wa kigaidi wa Israel umekuwa ukishambulia kila siku hospitali na vituo vya matibabu na afya katika Ukanda wa Gaza, na hivyo kuharibu na kusambaratisha kabisa mfumo wa huduma za afya katika ukanda huo.
-
Nasrullah: Upande ambao inapasa ukate tamaa ni wa utawala wa Kizayuni
Nov 11, 2023 23:36Katibu Mkuu wa Hizbullah Sayyid Hassan Nasrullah amesema, adui Mzayuni ameboronga tena katika mahesabu kama ilivyokuwa huko nyuma, na akasisitiza kwamba: wananchi wa Lebanon wameshikamana zaidi hivi sasa na Muqawama.