-
Kikao cha nchi za Kiarabu na Kiislamu cha Riyadh chatoa taarifa rasmi ya maamuzi muhimu kadhaa
Nov 11, 2023 11:58Kikao cha wakuu wa nchi za Kiarabu na Kiislamu kilichofanyika mjini Riyadh, Saudi Arabia kimetilia mkazo ulazima wa kuondolewa mzingiro dhidi ya Gaza na kuingia misafara ya misaada ya kibinadamu katika eneo hilo.
-
Kaburi la pamoja kuchimbwa ndani ya hospitali Gaza ili kuzika maiti 100 za waliouliwa na mashambulio ya Israel
Nov 11, 2023 09:24Wizara ya Afya ya Palestina katikia Ukanda wa Gaza imetangaza leo kuwa kaburi la pamoja litachimbwa ndani ya hospitali ya Al-Shifa ili kuzika maiti 100 zilizokuwa zimetawanyika hospitalini humo, za watu waliouawa shahidi kwa mashambulio ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ansarullah ya Yemen yakosoa vikali ulegevu walioonyesha watawala wa Kiarabu mbele ya Wazayuni
Nov 11, 2023 08:33Harakati ya Ansarullah ya Yemen imesisitiza kuwa itaendelea kuliunga mkono kwa dhati taifa na Muqawama wa Palestina katika Ukanda wa Gaza na imekosoa vikali udhaifu na ulegevu ulioonyeshwa na watawala wa nchi za Kiarabu mbele ya utawala dhalimu wa Kizayuni wa Israel.
-
Idadi ya wanajeshi wa Kizayuni walioangamizwa yafika 365
Nov 11, 2023 03:30Idadi ya askari na maafisa wa jeshi la utawala ghasibu wa Israel waliouawa tangu tarehe 7 Oktoba hadi sasa imefika 365.
-
Sheikh Al-Azhar wa Misri asisitiza juu ya ulazima wa kusitishwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina
Nov 11, 2023 02:42Sheikh wa Chuo Kikuu cha Al Azhar cha Misri amesisitiza juu ya ulazima wa kukomeshwa jinai na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina.
-
Hizbullah yaitwanga tena kwa makombora Israel, Wazayuni wakimbia kwa umati
Nov 11, 2023 00:00Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimetangaza kuwa, wakazi wa miji na vitongoji vya walowezi wa Kizayuni vilivyoko kwenye mpaka wa Lebanon wanakimbia kwa umati kwa namna ambayo haijawahi kutokea katika historia ya Israel sambamba na kuendelea Hizbullah ya Lebanon kuyapiga kwa makombora maeneo tofauti ya utawala wa Kizayuni kama sehemu ya kuwaunga mkono wananchi wa Ghaza.
-
Mashambulio ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza, siku ya 35
Nov 10, 2023 23:58Mashambulio ya utawala wa Kizayuni dhidi ya maeneo ya makazi na miundombinu muhimu huko Ghaza yanaendelea kwa siku ya 36 sasa, ambapo wakazi 30 zaidi wa Ghaza wameuawa shahidi katika shambulio la bomu kwenye nyumba mbili katika kambi ya Jabalia kaskazini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Sisitizo la Uturuki la kuendelea kuwepo kijeshi nchini Iraq na Syria
Nov 10, 2023 04:24Mashambulizi ya jeshi la Uturuki dhidi ya Syria na Iraq yamewekwa katika ajenda ya serikali ya Ankara, muda mfupi baada ya Anthony Blinken Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kufanya safari mjini humo.
-
Msemaji wa Sarayal-Quds: Vifaru vimegeuka kuwa majeneza ya askari wa Kizayuni
Nov 10, 2023 04:11Msemaji wa Saraya al-Quds, tawi la kijeshi la Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema, "adui yetu anayejaribu kusonga mbele anaionja ladha ya maumivu ndani ya vifaru vyake ambavyo vimegeuka kuwa majeneza yanayotembea"
-
Hizbullah ya Lebanon: Tutaendelea kuwaunga mkono watu wa Gaza na Muqawama
Nov 10, 2023 03:26Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imesisitiza kuwa itaendelea kuwaunga mkono wananchi wanaodhulumiwa wa Gaza na Muqawama wao.