-
Yemen yafanya shambulio jengine dhidi ya Israel, yasema limelenga shabaha na kusababisha maafa
Nov 10, 2023 00:24Vikosi vya jeshi la Yemen vimetangaza kuwa vimetekeleza operesheni nyingine ya kijeshi dhidi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, kutimiza ahadi yao ya kuendeleza mashambulizi hayo maadamu utawala huo dhalimu unaendeleza vita na mauaji ya kinyama katika Ukanda wa Gaza.
-
Palestina yaishtaki Israel IAEA kwa kutishia kudondosha bomu la nyuklia Gaza
Nov 09, 2023 23:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Palestina amewasilisha faili mbele ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kulalamikia matamshi ya vitisho ya waziri wa utawala wa Kizayuni kwamba ikilazimu, utawala huo haramu utatumia bomu la nyuklia dhidi ya watu wa Gaza.
-
Sababu za umuhimu wa kuingia Yemen katika vita vya Gaza
Nov 09, 2023 07:11Katika hali ambayo nchi muhimu za Kiarabu hazijachukua hatua yoyote ya maana mkabala wa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza na kujiri maafa ya binadamu katika ukanda huo, serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen yenye makao yake huko Sana'a imetangaza rasmi kuingia vitani dhidi ya utawala wa Kizayuni.
-
Wanajeshi wa Kizayuni walioangamizwa wafika 351, Muqawama wasisitiza kuwa hautashindwa
Nov 09, 2023 03:44Daniel Hagari, msemaji wa jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ametangaza kuwa: idadi ya askari na maafisa wa jeshi la utawala huo ghasibu waliouawa tangu tarehe 7 Oktoba hadi sasa imefika 351.
-
Qatar yafanya upatanishi wa kusitisha vita kwa siku 3 kwa ajili ya kuachiwa mateka 12 Gaza
Nov 09, 2023 03:43Duru moja iliyo karibu na Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeripoti kuwa Qatar inafanya upatanishi kwa ajili ya kutekelezwa usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza.
-
Kituo cha jeshi la Marekani Iraq chashambuliwa, droni yake ya MQ-9 yatunguliwa Yemen
Nov 09, 2023 03:42Vikosi vya Muqawama wa Kiislamu nchini Iraq vimeishambulia kambi ya jeshi la anga inayohifadhi wanajeshi wa Marekani nchini humo. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari vya nchi hiyo.
-
Siku ya 33 ya vita vya Gaza: Ubomoaji wa nyumba, hospitali na shule ungali unaendelea
Nov 09, 2023 03:32Kuendelea mashambulizi ya kila upande ya jeshi la Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza na kujiri mapigano makali kati ya vikosi vya muqawama na wavamizi hao karibu na kambi ya al-Shati iliyoko magharibi mwa mji wa Gaza, ni baadhi ya habari za hivi karibuni kutoka Palestina inayokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.
-
Netanyahu akataa ombi la Biden la kusitisha mapigano kwa siku 3 huko Gaza
Nov 08, 2023 22:48Rais Joe Biden wa Marekani amemtaka Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa Israel asitishe mapigano kwa siku tatu ili kutatua suala la mateka. Kuhusiana na jambo hilo, Biden amesema katika mazungumzo ya simu yaliyofanyika siku ya Jumanne alimuomba Benjamin Netanyahu asitishe mapigano ili kuandaa uwanja wa kushughulikiwa suala la mateka wa Israel.
-
Israel imebomoa misikiti 56 kikamilifu katika vita dhidi ya Gaza
Nov 08, 2023 11:05Utawala wa Kizayuni wa Israel hadi sasa umeshambulia na kuharibu kabisa kwa mabomu misikiti 56 tokea unazish vita vya maangamizi ya umati dhidi ya Ukanda wa Gaza. Aidha misikiti mingine zaidi ya 192 imepata hasara kwa kuharibiwa katika mashambulizi hayo ya kinyama.
-
Saudi Arabia yatangaza sharti la kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
Nov 08, 2023 10:54Saudi Arabia imetangaza sharti la kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel wakati huu jeshi la Israel likiendelea kufanya mauaji ya umati dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Gaza.