-
Siku ya 33 ya vita Gaza; waliouawa shahidi kwa mashambulio ya kinyama ya Israel wafikia 10,569
Nov 08, 2023 08:55Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa idadi ya waliouawa shahidi kutokana na mashambulio ya kinyama ya utawala wa Kizayuni katika eneo hilo imeongezeka na kufikia 10,569.
-
Malengo ya utawala wa Kizayuni ya kuainisha muda wa kuondoka raia huko Gaza
Nov 08, 2023 06:59Daniel Hagari, msemaji wa jeshi la utawala wa Israel alitangaza Novemba 6 kuanza usitishwaji vita wa siku mbili kwa ajili ya kutoa fursa kwa wakazi wa kaskazini mwa Ghaza kuondoka katika eneo hilo.
-
Netanyahu akataa usitishaji vita wa siku tatu
Nov 08, 2023 04:05Waziri mkuu wa Israel amekataa ombi la Biden la kusitisha vita kwa siku tatu.
-
Bunge la Bahrain lataka kuangaliwa upya uhusiano wa nchi hiyo na Israel
Nov 07, 2023 23:29Naibu Spika wa Bunge la Kitaifa la Bahrain amesema Wabunge wa nchi hiyo wanakishinikiza chombo hicho cha kutunga sheria kubatilisha uhusiano wa kawaida baina ya nchi hiyo ya Kiarabu ya Ghuba ya Uajemi na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Israel 'inaendesha vita dhidi ya hospitali za Ghaza', yatakiwa ikomesha uhalifu wa kivita
Nov 07, 2023 10:23Wizara ya Afya huko Ghaza imesema utawala haramu wa Israel "unaendesha vita vikali" dhidi ya hospitali katika eneo lililozingirwa, huku kukiwa na wito unaoongezeka wa kukomesha uhalifu wa kivita wa Israel.
-
Kuendelea bila kusita jinai za kivita katika siku ya 32 ya mashambulizi ya pande zote huko Gaza
Nov 07, 2023 06:42Kushadidi mashambulio ya kila upande dhidi ya Ukanda wa Gaza na kusimama kidete vikosi vya muqawama wa Palestina dhidi ya kupenya ardhini kwa jeshi la Israel katika maeneo ya Gaza ni miongoni mwa habari za hivi karibuni kabisa kuhusiana na Palestina.
-
Wanajeshi 35 wa Israel wameshaangamizwa tangu walipojaribu kuingia kwenye vita vya nchi kavu Ghaza
Nov 06, 2023 23:02Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel ambalo ni maarufu kwa kuchuja habari zinazohusu hasara linazopata, limekiri kwamba wanajeshi wake 35 wameshaangamizwa tangu jeshi hilo lilipoanzisha operesheni za nchi kavu kwenye Ukanda wa Ghaza. Jeshi hilo limekiri pia kwamba zana zake kadhaa zimeteketezwa na wanamapambano wa Palestina.
-
Kuongezeka upinzani dhidi ya vitendo vya kijinai vya utawala wa Kizayuni katika nchi za Magharibi
Nov 06, 2023 23:01Mwezi mmoja ukiwa umepita tangu kujiri operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa na utawala wa Kizayuni kuanzisha mashambulizi makali ya mabomu ambayo hajawahi kushuhudiwa tena huko Ghaza, ambayo yamepelekea kuuawa shahidi na kujeruhiwa makumi ya maelfu ya Wapalestina, wengi wao wakiwa ni watoto na wanawake, mwenendo wa upinzani dhidi ya vitendo hivyo vya jinai vya Israeli, umeongezeka sana duniani ikiwa ni pamoja na nchini Marekani, ambayo ni mwitifaki mkubwa wa Tel Aviv.
-
Radiamali kuhusu tishio la nyuklia la utawala wa Kizayuni dhidi ya Ghaza
Nov 06, 2023 05:00Tishio la mjumbe wa baraza la mawaziri la utawala wa Kizayuni la kutumia bomu la nyuklia dhidi ya watu wa Ghaza kwa mara nyingine tena limedhihirisha unyama na ukatili wa utawala huo.
-
Wanamuqawama wa Iraq washambulia kambi nne za Marekani huko Iraq na Syria
Nov 06, 2023 03:35Kwa mara ya nne leo asubuhi wanamuqawama wa Iraq wameshmbulia kambi za jeshi la Marekani huko Iraq na Syria.