-
Utawala wa Kizayuni unatumia mamluki wa Ulaya katika vita vya Ghaza
Nov 06, 2023 03:07Chombo kimoja cha habari nchini Uhispania kimefichua kuwa, utawala wa Kizayuni unatumia mamluki wa Ulaya katika vita vya Ghaza.
-
Iran: Tishio la Israel la kutumia bomu la nyuklia huko Ghaza 'ni kengele ya hatari kwa ulimwengu mzima'
Nov 06, 2023 00:30Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali tishio la hivi karibuni la waziri mwenye itikadi kali wa utawala wa Kizayuni wa Israel la kutumia bomu la nyuklia dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
Kata'ib Hizbullah: Ziara ya Blinken nchini Iraq haikubaliki
Nov 05, 2023 23:30Harakati ya Muqawama ya Kata'ib Hizbullah ya Iraq imetishia kushadidisha hali ya taharuki iwapo Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Anthony Blinken atafanya safari ya kuitembelea Baghdad.
-
Indhari ya kushtua ya WFP kuhusu watoto Ukanda wa Gaza
Nov 05, 2023 23:29Mkurugenzi Mkuu wa Mpango wa Chakula Duniani (WFP) ametahadharisha kuhusu hali mbaya inayowakabili watoto wa Kipalestina huko Ukanda wa Gaza.
-
Hofu na wasiwasi wa Waisraeli kuhusiana na uwezekano wa kushtukizwa na Hizbullah
Nov 05, 2023 23:28Katika hali ambayo duru za Kizayuni bado zina wasiwasi kuhusu misimamo ya kimantiki na wakati huo huo isiyokuwa wazi ya Sayyid Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon kuhusiana na matukio ya hivi karibuni ya nchi hiyo na Palestina, Ehud Barak, waziri mkuu wa zamani wa utawala huo ghasibu amesema Hassan Nasrallah ni mtu mwerevu sana na anaweza kuchukua hatua isiyotarajiwa ya kuishtukiza Israeli.
-
Hamas: Fikra ya kudondosha bomu la nyuklia eneo la Gaza ni kielelezo cha ugaidi usio na kifani wa Israel
Nov 05, 2023 10:09Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestinaa (HAMAS) ameyataja matamshi yaliyotolewa na Waziri wa serikali ya Israel kuhusiana na uwezekano wa kushambulia eneo la Ghaza kwa kutumia bomu la atomiki kuwa ni kielelezo cha ugaidi usio na kifani wa utawala huo wa Kizayuni.
-
Mpira wa kusimamisha au kupanua wigo wa vita Ghaza uko katika uwanja wa Netanyahu na jeshi la Kizayuni
Nov 05, 2023 03:22Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa inakaribia kufika mwezi mmoja tangu itekelezwe huku jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel likiendelea kuwaua watu wa Ghaza na kujaribu kufidia kushindwa kwao katika vita vya nchi kavu kwa kuwaua raia kwa umati.
-
Makomandoo wa HAMAS waangamiza wanajeshi wengine watano wa Kizayuni kaskazini magharibi mwa Ghaza
Nov 05, 2023 03:20Habari za karibuni kabisa za Palestina zinazungumzia kuendelea mashambulizi ya anga na mizinga ya utawala wa Kizayuni dhidi ya maeneo tofauti ya raia kwenye Ukanda wa Gaza na kukiri duru za Kizayuni kwamba Tel Aviv imenaswa katika mtego wa wanamapambano wa Palestina.
-
HAMAS: Tuna uhakika taifa la Palestna litashinda vita na wavamizi Wazayuni
Nov 05, 2023 03:16Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa, harakati hiyo ina uhakika wa kuushinda utawala wa Kizayuni katika vita vinavyoendelea Ghaza hivi sasa.
-
Hamas: Marekani inachochea mashambulio ya kikatili ya Israel dhidi ya Wapalestina huko Ghaza
Nov 04, 2023 11:08Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, ameilaani vikali Marekani kutokana na uungaji mkono wake usio na masharti kwa kampeni ya kijeshi ya utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza. Aidha amesema utawala wa Israel umepata idhini ya Marekani ya kutekeleza mashambulizi dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.