-
Wazayuni waendeleza jinai zao kwa kuvunja Misikiti mingine miwili ya Ukanda wa Ghaza
Nov 04, 2023 10:52Utawala wa Kizayuni umeendeleza jinai zake kwa kushambulia Misikiti mingine miwili leo Jumamosi ukimweo Msikiti wa Ali bin Abi Talib katika Ukanda wa Ghaza.
-
Kupungua kwa kasi umaarufu wa Netanyahu katika chama chake
Nov 04, 2023 04:08Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni yanaonyesha kupungua kwa kiasi kikubwa umaarufu wa Benjamin Netanyahu miongoni mwa wakaazi wa ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.
-
Nukta muhimu katika hotuba ya Hassan Nasrullah kuhusu Kimbunga cha al-Aqsa
Nov 04, 2023 03:36Huku akikosoa vikali katika hotuba yake ya jana Ijumaa, kimya cha nchi za Kiarabu kuhusiana na jinai zinazotekelezwa na utawala ghasibu wa Israel unaokalia kwa mabavu Quds Tukufu, dhidi ya watu wa Gaza, Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, amesisitiza kuwa operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa imetekelezwa kikamilifu na Wapalestina, kwa ajili ya taifa la Palestina na malengo yao matukufu.
-
Umoja wa Mataifa: Mashambulizi ya Israel kwenye kambi ya wakimbizi ya Jabalia ni uhalifu wa kivita
Nov 03, 2023 23:36Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wametangaza kuwa mashambulizi ya anga ya Israel kwenye kambi ya wakimbizi ya Jabalia huko Ukanda wa Gaza ni "ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa" na "uhalifu wa kivita".
-
UN: Zinahitajika dola bilioni 1.2 kukidhi mahitaji ya mamilioni Gaza, Ukingo wa Magharibi
Nov 03, 2023 23:34Ofisi ya Uratibu wa Misaada ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) imetangaza kuwa, takriban dola bilioni 1.2 zinahitajika kwa ajili ya kushughulikia mahitaji ya msingi ya Wapalestina milioni 2.7 katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Kambi za kijeshi za Marekani zashambuliwa kwa droni Iraq, Syria
Nov 03, 2023 23:33Vituo viwili vya kijeshi vya Marekani vimeshambuliwa katika hujuma za ndege zisizo na rubani (droni) katika eneo la Kurdistan la kaskazini mwa Iraq na katika mkoa wa Hasaka, mashariki mwa Syria.
-
Sayyid Nasrullah: Machaguo yote dhidi ya Israel yapo mezani
Nov 03, 2023 12:09Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema machaguo yote dhidi ya utawala haramu wa Israel yapo mezani, huku akiuasa utawala huo wa Kizayuni usitishe mara moja uvamizi na mashambulizi yake ya kinyama dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Wapalestina sasa wazika mashahidi wao katika makaburi ya umati
Nov 03, 2023 08:58Habari kutoka Ukanda wa Gaza zinaarifu kuwa, kutokana na kushtadi mashambulizi ya kinyama ya utawala haramu wa Israel na kuongezeka kwa kiwango cha kutisha idadi ya wananchi wa Palestina wanaouawa shahidi katika eneo hilo, Wapalestina hivi sasa wanalazimika kuwazidi mashahidi wao katika makaburi ya halaiki.
-
Kuendelea jinai za Wazayuni dhidi ya raia wa Gaza kwa uungaji mkono wa wazi wa Marekani
Nov 03, 2023 04:45Ikiwa ni katika muendelezo wa mauaji ya raia yanayofanywa na utawala unaoikalia kwa mabavu Quds Tukufu, ndege za kivita za utawala huo hivi karibuni zilishambulia kwa mabomu kambi ya wakimbizi ya Jabalia iliyoko kaskazini mwa Ukanda wa Gaza na kuua kwa umati zaidi ya raia mia moja wa Palestina na kujeruhi wengine zaidi ya mia tatu.
-
Bahrain yasitisha uhusiano wa kibiashara na Israel, yamrejesha nyumbani balozi wake
Nov 03, 2023 04:34Bunge la Bahrain limetangaza kuwa, limesitisha uhusiano wa kiuchumi na utawaa wa Kizayuni wa Israel na kuwaondoa mabalozi wake kutokana na kuendelea mashambulio ya jeshi la Israel dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Gaza.