-
Wanajeshi 18 wa utawala haramu wa Israel waangamizwa katika operesheni ya ardhini Gaza
Nov 03, 2023 00:43Jeshi la utawala haramu wa Israel limetangaza kuwa, wanajeshi wake 18 wameuawa na wengine wanne kujeruhiwa vibaya katika operesheni yao ya ardhini huko Gaza Plestina.
-
Kamanda wa vitani wa Hizbullah: Tumejiweka tayari kuingia Israel na kuuteka mji wa Al-Jalil
Nov 02, 2023 23:59Kamanda mmoja wa vitani wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon aliyekutana na ujumbe wa vyombo vya habari vya Iran, ameelezea hali ya hivi karibuni ya kambi ya Muqawama katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni kwa kueleza kwamba: "Hizbullah ya Lebanon inajihisi ina wajibu wa kujitokeza kwenye uwanja wa mapambano na hivi sasa tuko kwenye medani ili kueleza kwamba Palestina haiko peke yake".
-
Misimamo inayogongana ya White House na Biden kuhusu kusitishwa mapigano huko Ghaza
Nov 02, 2023 23:57Ikiwa zimepita takribani wiki 4 tangu kuanza operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa na mashambulizi ya jinai ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza ambayo yamepelekea kuuawa shahidi na kujeruhiwa maelfu ya Wapalestina hususan watoto na wanawake, Marekani ambayo ni muungaji mkono mkuu na mshirika wa kistratijia wa utawala wa Kizayuni, bado inataka kuendelezwa mauaji ya umwagaji damu huko Ghaza.
-
Waliouawa shahidi kwa mashambulio ya kinyama ya Israel Gaza wapindukia 9,000
Nov 02, 2023 09:56Msemaji wa Wizara ya Afya katika Ukanda wa Gaza ametangaza kuwa idadi ya waliouawa shahidi kutokana na mashambulio ya kinyama ya utawala wa Kizayuni katika eneo hilo imeongezeka na kufikia 9,061.
-
Mapigano ya mpakani yaanza tena kati ya Hizbullah ya Lebanon na utawala wa Kizayuni wa Israel
Nov 02, 2023 09:49Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imejibu jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza kwa kushambulia ngome za jeshi la utawala huo ghasibu.
-
Walimwengu waendelea kulaani mauaji ya kimbari ya Israel katika ukanda wa Gaza
Nov 02, 2023 04:29Maandamano ya kulaani mauaji ya kimbari ya utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza yameendelea kufanyika katika mataifa mbalimbali duniani licha ya ukandamizaji wa vyombo vya usalama katikak baadhi ya nchi.
-
Jinai zai Israel zaendelea; Wapalestina wengine 19 wauawa Jabaliya
Nov 02, 2023 04:04Wapalestina wengiine 19 wameuawa shahidi kufuatia mashambulio ya anga ya utawala haramu wa Israel katika kambi ya wakimbizi ya Jabaliya kaskazini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Hamas yasema Marekani inawasaidia Wazayuni katika vita vya Ghaza
Nov 02, 2023 02:49Mmoja wa viongozi wa kundi la Wanamapambano wa Kiislamu wa Palestina Hamas amesema Marekani inaunga mkono na kuusaidia kwa hali na mali Utawala wa Kizayuni katika mapigano ya Ghaza.
-
Mkuu wa Intelijinsia wa jeshi la Kizayuni: Tumeshindwa
Nov 01, 2023 23:01Kufuatia utawala wa Kizayuni kukiri kushindwa mbele ya wanamapambano wa Palestina, Mkuu wa Idara ya Ujasusi katika jeshi la utawala huo ghasibu pia amesisitiza akisema:" Sisi tumeshindwa."
-
Watu 400 wameuawa na kujeruhiwa katika hujuma ya Israel kwenye kambi ya wakimbizi ya Jabaliya
Nov 01, 2023 08:54Wapalestina wasiopungua 400, wengi wao wakiwa ni wanawake na watoto, wamethibitishwa kuuawa na kujeruhiwa baada ya mashambulizi ya anga ya utawala katili wa Israel dhidi ya wakimbizi ya Jabaliya katika Ukanda wa Ghaza.