-
Jarida lathibitisha: Vikosi maalumu vya Marekani vinapigana bega kwa bega na Wazayuni katika vita vya Gaza
Oct 28, 2023 23:30Jarida la Marekani linalohusika na masuala ya kijeshi limefichua kuwa vikosi maalumu vya nchi hiyo vinapigana bega kwa bega na Wazayuni katika vita vya Gaza.
-
Mauaji ya makusudi ya raia wa Gaza bado ni shabaha rahisi kwa Netanyahu na genge lake
Oct 28, 2023 23:29Tukiwa katika siku ya 22 ya mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Gaza, kuna mambo kadhaa ya kuzingatiwa. Kwanza ni kwamba, shambulio la nchi kavu la utawala wa Kizayuni huko Gaza ambalo limeanzishwa kutoka pande tatu limeshindwa, na jeshi la utawala huo limeshindwa kusonga mbele.
-
Palestina: 70% ya waliouliwa shahidi Gaza ni wanawake, watoto na wazee; maelfu wako chini ya vifusi
Oct 28, 2023 11:31Waziri wa Afya wa Palestina amesema, hali ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza ni mbaya sana na amebainisha kuwa, asilimia 70 ya waliouliwa shahidi ni wanawake, watoto na wazee; na kwamba mbali na maelfu ya waliouawa na kujeruhiwa, kuna maelfu ya Wapalestina wengine ambao wangali wako chini ya vifusi.
-
Wapalestina 100 wameuawa shahidi katika hujuma mpya ya Israel huko Ghaza
Oct 28, 2023 04:03Sambamba na kuanza operesheni ndogo ya nchi kavu ya jeshi katili la utawala haramu Israel kwa lengo la kujipenyeza Ghaza usiku wa kuamkia leo, zaidi ya raia 100 Wapalestina wameuawa shahidi huku utawala huo ukilaaniwa kote duniani kwa kutekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.
-
Rais wa Brazil: Israel inatekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina Ghaza
Oct 28, 2023 00:25Rais Luiz Inacia Lula da Silva wa Brazil amelaani vikali vita vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza na kusema utawala huo unatekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.
-
Hamas: Viongozi wetu wapo majumbani mwao, na si mahospitalini
Oct 28, 2023 00:24Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema madai ya utawala wa Kizayuni kwamba viongozi wa harakati hiyo wapo katika njia za chini ya ardhi ya hospitali ya Al -Shifa katika Ukanda wa Ghaza ni ya upotoshaji.
-
Atwan: Wanamuqawama wa Ghaza wameigeuza historia juu chini kwa utawala wa ghasibu
Oct 28, 2023 00:24Mhariri wa gazeti la Rai al Yaum amesema kuwa kinyume na dhana ya viongozi wa utawala ghasibu unaoikalia Quds Tukufu kwa mabavu, wanamapambano huko Ukanda wa Ghaza wameugeuza mwenendo wa historia kwa utawala huo.
-
Wanamuqawama wa Iraq waishambulia kwa droni kambi ya Marekani ya Ain al Asad
Oct 27, 2023 10:39Kundi jina la Mujahidina wa Muqawama wa Kiislamu wa Iraq wameshambulia kwa ndege isiyo na rubani (droni) mahali walipo vikosi vamizi vya Marekani katika kambi ya Ain al Asad huko Iraq.
-
Medvedev aitahadharisha Israel kuhusu taathira za umwagaji damu katika oparesheni ya ardhini Ghaza
Oct 27, 2023 10:06Dmitry Medvedev Mkuu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia ametahadharisha kuwa, oparesheni ya nchi kavu ya Israel itafuatiwa na taathira nzito na za umwagaji damu.
-
Qatar yasikitishwa na utendaji kazi wa Baraza la Usalama huko Ghaza
Oct 26, 2023 23:02Mwakilishi wa Qatar katika Umoja wa Mataifa amelalamikia siasa za utolewaji misaada ya kibinadamu huko Ghaza na kushindwa Baraza la Usalama kupitisha azimio kuhusiana na matukio ya eneo hilo.