-
Afisa wa usalama wa utawala wa Israel: Maneno ya Nasrullah hayapaswi kupuuzwa
Aug 19, 2023 22:57Naibu Mkuu wa Shirika la Usalama la utawala wa Kizayuni wa Israel amesema kwamba, matamshi yaliyotolewa na Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah, hayapaswi kupuuzwa.
-
Wayemen wapinga kuwepo Wamarekani katika Bahari Nyekundu
Aug 19, 2023 22:56Vyombo vya habari vya Yemen vimeripoti kuwa, upinzani wa wananchi wa kusini mwa nchi hiyo dhidi ya uwepo wanajeshi wa Marekani katika Bahari Nyekundu na kuingilia mambo ya ndani ya nchi hiyo umeshika kasi zaidi.
-
Wabahrain waandamana kuwaunga mkono wafungwa waliogoma kula
Aug 19, 2023 06:50Wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo ukiwemo mji mjuu Manama, kwa shabaha ya kuwaunga mkono na kusimama pamoja na wafungwa waliogoma kula wakilalamikia hali mbaya ya jela.
-
Sababu za Marekani kurudisha kundi la kigaidi la Daesh nchini Syria
Aug 19, 2023 04:48Kundi la kigaidi la Daesh au jina jingine ISIS, limezidisha mashambulizi yake katika ardhi ya Syria. Syria na Iran zimeshuhudia mashambulizi ya kigaidi ya kundi hilo katika wiki za hivi karibuni. Kuna dalili za kutosha zinazothibitisha kwamba Marekani ndiyo inayochochea mashambulizi hayo.
-
Saudi Arabia kutayarisha 'mkataba wa ushirikiano wa muda mrefu' na Iran
Aug 19, 2023 03:40Akiwa njiani kurejea kutoka ziara ya siku mbili nchini Saudi Arabia, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema wakuu wa ufalme huo wameagiza kuanzishwa kwa hatua za awali za kubuni "makubaliano ya muda mrefu ya ushirikiano" na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran, Saudia zaafikiana kuimarisha usalama na ustawi wa Asia Magharibi
Aug 19, 2023 00:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amir-Abdollahian amekutana na kufanya mazungumzo mjini Jeddah na Mohammed bin Salman, Mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia, ambapo wametilia mkazo wajibu wa kustawishwa zaidi uhusiano wa kiusalama na maendeleo ya nchi mbili hizi na eneo zima la Asia Magharibi.
-
Sisitizo la Algeria la kutokuwa tayari kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel
Aug 19, 2023 00:21Naibu Spika wa Bunge la Algeria Moussa Kharfi ametamka bayana kuwa nchi yake haitoanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Mpalestina aliyepigwa risasi na askari wa Israel katika Msikiti wa Aqsa alifariki kutokana na majeraha
Aug 18, 2023 08:51Kijana wa Kipalestina ameaga dunia kutokana na majeraha ya risasi aliyopigwa na wanajeshi wa utawala haramu Israel miaka miwili iliyopita wakati wa uvamizi wa kikatili wa Israel kwenye Msikiti wa al-Aqsa mjini Quds (Jerusalem).
-
Wafungwa 1,000 wa Kipalestina waanza mgomo wa kula katika jela za Israel
Aug 18, 2023 04:47Mashirika ya habari yameripoti kuwa, wafungwa 1,000 wa Kipalestina wameanza mgomo wa kula katika jela za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran na Saudia zatilia mkazo udharura wa kuanza ukurasa mpya wa uhusiano baina yao
Aug 18, 2023 01:06Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Saudi Arabia wametilia mkazo wajibu wa kuanza ukurasa mpya katika uhusiano wa Tehran na Riyadh na kutekelezwa kikamilifu vipengee vya maafikiano vilivyotiwa saini baina ya pande mbili.