-
Baghdad: Kambi ya al Hawl ya wanamgambo wa Marekani Syria ni tishio kubwa kwa Iraq
Jun 09, 2023 05:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amesema kuwa, kuna wajibu wa kudhibitiwa kambi ya al Hawl nchini Syria kwani kama itaendelea kuachwa hivi hivi basi itakuwa tishio kubwa kwa usalama wa eneo hili na dunia nzima kwa ujumla.
-
Doha: Tunaunga mkono mgogoro wa Syria kupatiwa ufumbuzi wa kudumu
Jun 09, 2023 03:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema kuwa Doha inataka mgogoro wa Syria utatuliwekwa uadilifu na kwamba inaunga mkono utatuzi wa kisiasa katika uwanja huo.
-
Ukatili wa Wazayuni katika kumuua shahidi mtoto wa Kipalestina na kimya cha wanaodai kutetea haki za binadamu
Jun 08, 2023 21:53Siku tano zimepita tangu Wazayuni watende jinai ya kumuua shahidi mtoto wa Kipalestina aliyekuwa na umri wa miaka mitatu. Siku tano zilizopita mwanajeshi mmoja wa utawala wa Kizayuni katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan alimfyatulia risasi na kumjeruhi vibaya mtoto huyo wa Kipalestina kwa jina la Muhammad Hytham Tamimi.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia msikiti wa al-Aqswa chini ya ulinzi wa wanajeshi wa Israel
Jun 08, 2023 07:58Makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo mikali asubuhi ya leo wameuvamia tena msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kulivunjia heshima eneo hilo takatifu.
-
Bunge la Kuwait laangukia tena mikononi mwa wapinzani
Jun 07, 2023 22:50Mrengo wa upinzani nchini Kuwait kwa mara nyingine tena umeshinda wingi wa viti vya Bunge nchini humo katika uchaguzi mkuu wa saba wa nchi hiyo ya Ghuba ya Uajemi.
-
Asilimia 97 ya maji katika nyumba za Ukanda wa Ghaza, hayanyweki
Jun 07, 2023 07:16Mkurugenzi wa Taasisi ya Maji ya Ghaza ameeleza kuwa: Asilimia 97 ya maji katika nyumba za raia wa Palestina wa Ukanda wa Ghaza hayanyweki.
-
Mkuu wa Jeshi la Israel: Operesheni ya Mohammad Salah ilikuwa chungu mno kwetu
Jun 07, 2023 02:37Jeshi la utawala wa Kizayuni limepeleka vikosi vyake vilivyopewa mafunzo ya hali ya juu ya kijeshi kwenye mpaka na Misri huku Mkuu wa Majeshi wa utawala huo dhalimu akikiri kwamba operesheni ya mwanajeshi wa Misri iliyoangamiza wanajeshi wa Israel, ilikuwa chungu sana kwa utawala huo.
-
Iraq yavunja mtandao wa mabaki ya ISIS mkoani Al-Anbar
Jun 06, 2023 02:02Vyombo vya usalama nchini Iraq vimefanikiwa kusambaratisha mtandao wa mabaki ya wanachama wa kundi la kigaidi la ISIS katika mkoa wa Al-Anbar, wa magharibi mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Hamas na Jihad al Islami: Muqawama ndiyo njia pekee ya kupambana na Wazayuni
Jun 05, 2023 22:03Wakuu wa harakati mbili za muqawama yaani Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS na Jihad al Islami wamesema kuwa, chaguo pekee walilo nalo Wapalestina katika kupambana na utawala katili na vamizi wa Kizayuni, ni muqawama na kusimama imara kwenye misimamo yao ya haki.
-
Safari ya al-Miqdad nchini Iraq na kuimarishwa ushirikiano wa kiusalama, kisiasa na kiuchumi
Jun 05, 2023 22:01Faisal al-Miqdad, Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria, amekutana na Waziri mwenzake wa Mambo ya Nje wa Iraq Fuad Hussein katika safari aliyofanya mjini Baghdad, ambapo pande hizo zimesisitiza juu ya kupanuliwa uhusiano wa pande mbili hususan kuhusu usalama.