-
Iran ina azma ya kurejesha uhusiano wa kibiashara, kiuchumi na Saudi Arabia
Apr 27, 2023 07:22Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda, Migodi na Kilimo cha Iran (ICCIMA) ametoa wito wa kurejeshwa kwa haraka uhusiano wa kibiashara na kiuchumi na Saudi Arabia na kukuzwa ushirikiano kati ya wafanyabiashara na wenye viwanda vya sekta binafsi za nchi hizo mbili.
-
Hamas: Maonyo ya Sayyid Nasrullah ndiyo sababu kuu ya woga wa utawala wa Kizayuni
Apr 27, 2023 02:07Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, maonyo yanayotolewa na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah ndiyo sababu kuu inayozuia mashambulio ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Indhari kuhusu njama ya Israel ya kugeuza eneo la Kiislamu la Bab Al-Rahma kuwa Sinagogi
Apr 26, 2023 23:33Kundi la kutetea haki za binadamu limeonya kuhusu njama ya utawala ghasibu wa Israel kugeuza Jumba la Sala la Bab Al-Rahma katika Msikiti wa Al-Aqsa kuwa sinagogi.
-
Maandamano ya maelfu ya Wazayuni yanaendelea katika ardhi za Palestina
Apr 26, 2023 02:48Maelfu ya Wazayuni wameendelea na maandamano yao ya kumpinga waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu, katika miji ya Quds na Tel Aviv licha ya kuweko sherehe za miaka 75 ya kuasisiwa utawala haramu na pandikizi wa Israel.
-
Balozi Zawawi: Muda wa kukombolewa taifa la Palestina umewadia
Apr 25, 2023 22:33Balozi wa Palestina nchini Iran amesema kuwa, umewadia wakati sasa kwa taifa la Palestina kukombolewa na sote tuswali katika msikiti mtakatifu wa al-Aqswa.
-
Mapatano ya Iran na Saudia yamefungua mlango wa msururu wa maridhiano katika eneo
Apr 25, 2023 09:00Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti wa Kisiasa na Kistratejia cha mjini Sana'a amesema, mapatano yaliyofikiwa kati ya Saudi Arabia na Iran yatakuwa na taathira chanya kwa masuala muhimu ya eneo, kadhia ya Yemen ikiwa mojawapo ya masuala hayo.
-
Kuanza tena mashambulizi ya Wazayuni kwenye Msikiti wa Al-Aqsa baada ya Ramadhani
Apr 25, 2023 00:12Mivutano mipya inazuka katika Msikiti wa Al-Aqsa sambamba na kumalizika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
HAMAS: Damu za mashahidi hazitaachwa kumwagika vivi hivi
Apr 24, 2023 21:55Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kuwa, kamwe haitoruhusu damu za mashahidi zimwagike vivi hivi. Taarifa ya harakati hiyo imetolewa baada ya wanajeshi makatili wa Israel kumuua kigaidi kijana mwingine wa Kipalestina huko Ariha.
-
OIC yaalani vikali hujuma za Wazayuni katika Msikiti wa al Aqsa
Apr 24, 2023 08:58Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani vikali mashambulizi ya Wazayuni katika eneo la Babul Rahma katika Msikiti Mtakatifu wa al Aqsa.
-
Iran itaendelea kuwaunga mkono Wapalestina kiroho, kisiasa
Apr 23, 2023 22:24Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza azma yake katika kadhia ya Palestina na kusema itaendelea kuwaunga mkono wanamapambano wa Palestina katika kukabiliana na vitendo vya kichokozi vya utawala wa Kizayuni.