-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu kuporomoka utawala wa Kizayuni na ulazima wa umoja wa Umma wa Kiislamu
Apr 23, 2023 22:03Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameitaja kadhia ya Palestina kuwa mojawapo ya masuala ya msingi katika Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Hamas: Sera za mauaji ya kigaidi za utawala wa Kizayuni zimeshindwa
Apr 23, 2023 22:02Baada ya kuchapishwa habari kuhusu ombi la jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel la kutaka kumuua naibu mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya harakati ya Hamas, msemaji wa harakati hiyo amesema vitisho hivyo na sera za ugaidi za utawala huo ghasibu zimeshindwa na kufeli.
-
Wasiwasi wa Israeli kuhusu matukio mapya ya kimkakati katika Asia Magharibi
Apr 23, 2023 13:03Katika wiki za hivi karibuni, kumekuwapo matukio kadhaa ya kimkakati katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) ambayo yameufanya utawala wa Kizayuni wa Israel uingiwe na wasiwasi na hofu kubwa.
-
Rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel: Tunakabiliwa na mgogoro hatari zaidi
Apr 23, 2023 07:47Rais wa utawala haramu wa Israel ameashiria maandamano mtawalia ya kupinga kupasishwa mpango wa "marekebisho ya mfumo wa mahakama" na kusema kuwa, kwa sasa Israel inakabiliwa na mgogoro hatari zaidi wa ndani katika historia yake.
-
Serikali ya Sana'a: Hali inaelekea kwenye uletaji utulivu, amani na suluhu jumuishi
Apr 23, 2023 02:36Waziri wa Ulinzi wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema, hali nchini humo inaelekea kwenye uletaji utulivu na kufikia kwenye amani na suluhu pana na jumuishi.
-
Ripoti: Zaidi ya Wazayuni 200 wakiwemo wanajeshi waliangamizwa mwaka uliopita
Apr 22, 2023 22:01Duru za Kizayuni zimetangaza kuwa, zaidi ya Wazayuni 200 waliangamizwa katika mwaka uliopita (2022) katika ardhi za palestina zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel.
-
Hizbullah: Ndoto ya Netanyahu ya kuanzisha muungano dhidi ya Iran haikuaguka
Apr 22, 2023 09:03Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema: matukio ya hivi karibuni ya Palestina na eneo na milingano uliolazimishwa kuwepo na Muqawama vimezima ndoto ya Netanyahu ya kuanzisha muungano dhidi ya Iran.
-
Marekani imekasirishwa na juhudi za kutaka kuirejesha Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Apr 22, 2023 09:00Sambamba na hamu iliyoonyeshwa na Saudi Arabia na baadhi ya nchi za Kiarabu ya kutaka Syria irejee katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Marekani imezifahamisha Saudia na utawala haramu wa Israel kwamba inapinga juhudi hizo za kuirejesha Damascus katika jumuiya hiyo.
-
Waumini milioni nne walisali katika Msikiti wa Al-Aqsa mwezi wa Ramadhani mwaka huu
Apr 22, 2023 02:41Idara ya Wakfu wa Kiislamu huko Al-Quds (Jerusalem) ilitangaza kwamba waumini milioni nne walisali katika Msikiti wa Al-Aqsa katika kipindi chote cha mwezi uliobarikiwa wa Ramadhani licha ya vizuizi vikali vilivyowekwa na utawala haramu wa Israel.
-
Al Houthi: Hatua za kivitendo za Riyadh zitafanikisha mazungumzo
Apr 21, 2023 22:10Mjumbe wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuwa kupiga hatua kivyovyote katika mchakato wa mazungumzo kati yao na muungano vamizi wa Saudia kutategemea na hatua za kivitendo za Riyadh.