-
Je, kuanguka ndege isiyo na rubani ya Israel nchini Syria kumetokana na sababu za kiufundi?
Apr 21, 2023 04:28Utawala wa Kizayuni wa Israel umetangaza kuanguka kwa moja ya ndege zake zisizo na rubani wakati wa uvamizi wa anga ya Syria.
-
Al-Houthi: Muungano wa Saudia ndio uliohusika na maafa ya Sana'a
Apr 21, 2023 03:51Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen ameutuhumu muungano wa vita unaoongozwa na Saudi Arabia kuwa ndio uliohusika na vifo na majeruhi ya makumi ya raia wa Yemen kutokana na msongamano wa watu mjini Sana'a.
-
Jenerali wa Israel: Israel inajihadhari wakati nguvu za kijeshi za Iran zimeongezeka 'mara 100'
Apr 20, 2023 22:04Kamanda wa ngazi ya juu wa zamani wa jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa utawala huo bandia hauna uwezo wa kuchukua hatua za kushtukiza za kijeshi dhidi ya mpango wa amani wa nyuklia wa Iran na kueleza kwamba nguvu za kijeshi za Jamhuri ya Kiislamu zimeongezeka "mara mia moja".
-
Makumi waaga dunia katika mkanyagano wa ugavi wa msaada wa hisani huko Yemen
Apr 20, 2023 08:24Watu zaidi ya 80 wamepoteza maisha na mamia kujeruhiwa huko Yemen katika mkanyagano uliotokea leo katika zoezi la ugavi wa msaada wa hisani.
-
Vijana wa Kizayuni wakataa kuhudumu jeshini Israel
Apr 20, 2023 08:02Vijana wa Kizayuni wameripotiwa kuzichoma moto barua wanazotumiwa kwa ajili ya kufanya kazi katika jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Waziri wa Haki za Binadamu Yemen: UN haihudumu kwa ajili ya uhuru na haki za binadamu
Apr 19, 2023 02:37Waziri wa Haki za Binadamu wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema, Umoja wa Mataifa unazungumza kuhusu haki za binadamu na uhuru, lakini haufanyi lolote katika uhalisia.
-
Kitivo cha utafiti cha Kizayuni: Israel ni jamii iliyosambaratika
Apr 19, 2023 02:24Kitivo cha utafiti za Kizayuni cha masuala ya kimkakati na Kiusalama cha Baitul Muqaddas (Jerusalem) kinaitakidi kuwa, jamii ya Israel ni jamii iliyogawanyika na iliyoporomoka, na shaka na wasiwasi kuhusu misingi yake ya kimkakati unazidi kuongezeka siku baada ya siku.
-
Zulia jekundu la Saudi Arabia chini ya miguu ya viongozi wa Kipalestina
Apr 18, 2023 22:00Ismail Hania na Khalid Mash'al, Mkuu wa sasa na wa zamani wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS Jumapili ya tarehe 16 Aprili waliwasili Riyadh mji mkuu wa Saudi Arabia wakiuongoza ujumbe wa ngazi za juu wa HAMAS.
-
Hamas: Oparesheni ya Sheikh Jarrah ni jibu la kawaida kwa jinai za maghasibu
Apr 18, 2023 21:59Kufuatia oparesheni iliyofanywa jana huko Quds inayokaliwa kwa mabavu dhidi ya Wazayuni, msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema oparesheni hiyo ya Sheikh Jarrah ni jibu la kawaida kwa jinai zinazofanywa na Maghasibu wa Kizayuni dhidi ya raia wa Palestina.
-
Ujumbe wa Hamas uko Saudi Arabia kwa mazungumzo na serikali ya Riyadh
Apr 18, 2023 08:40Ujumbe wa maafisa wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) uko nchini Saudi Arabia ikiwa ni safari yake ya kwanza nchini humo baada ya miaka kadhaa.