-
Hezbollah ya Lebanon yatahadharisha kuhusu kuchelewa kuanzisha uhusiano na Syria na China
Apr 17, 2023 21:58Mwakilishi wa Baraza Kuu la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa hii leo Ulimwengu wa Kiarabu unaelekea upande wa Syria kwa uamuzi wake na kwa kuzingatia maslahi yake.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; Hali ya sasa ya utawala wa Israel ni mfano wa kushindwa adui
Apr 17, 2023 21:58Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekutana makamanda na maafisa wakuu wa Majeshi ya Iran na kusema hali ya hivi sasa ya utawala wa Kizayuni wa Israel ni mfano wa kushindwa adui.
-
Waziri wa Kizayuni: Iran inaendesha ‘vita vya pande kadhaa vya kudhoofisha’ dhidi ya Israel
Apr 17, 2023 07:08Waziri wa vita wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema Iran inapigana dhidi ya utawala huo katika pande zote, huku kukiwepo na tahadhari zinazotolewa kuhusu uwezekano mkubwa wa kutokea vita vikubwa baada ya mageuzi tata ya kimahakama ya waziri mkuu wa utawala huo wa Kizayuni Benjamin Netanyahu kuzusha mgogoro wa ndani.
-
Iraq: Tunapinga kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel
Apr 17, 2023 02:56Mohammed al-Halbousi, Spika wa Bunge la Iraq amesisitiza kuwa, nchi yake inapinga vikali kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel unaotenda jinai kila leo dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Ansarullah, waitifaki wa Saudi Arabia wakamilisha mabadilishano ya wafungwa Yemen
Apr 16, 2023 21:58Harakati ya Ansarullah ya Yemen na Baraza la la Urais linaloungwa mkono na Saudi Arabia (PLC) wamewaachilia huru wafungwa wengi katika mabadilishano ya mwisho ya wafungwa 900 na hivyo kuongeza matarajio ya amani ya nchi nzima katika nchi hiyo iliyokumbwa na vita vikali vinavyoongozwa na Saudi Arabia.
-
Kwa kikao cha Jeddah, Syria yapiga hatua nyingine kurejea katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Apr 16, 2023 21:40Kikao cha mashauriano cha mataifa ya Kiarabu kimefanyika nchini Saudi Arabia kwa kuhudhuriwa na nchi tisa ambapo taarifa ya mwisho imesisitiza juu ya ulazima mchakato wa Syria kurejea katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu.
-
Wapalestina 24 watiwa nguvuni huko Quds na Ukingo wa Magharibi
Apr 16, 2023 07:47Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameshambulia baadhi ya maeneo katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo na katika Ukingo wa Magharibi na kuwatia nguvuni Wapalestina 24.
-
Haniya: Taifa la Palestina halina njia nyingine isipokuwa muqawama na mapambano
Apr 16, 2023 03:27Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza juu ya umoja katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kueleza kwamba, taifa la Palestina halina njia nyingine ya kuwatimua wavamizi isipokuwa kuendeleza muqawama, uthabiti na mapigano.
-
Wanajeshi 23 wa Marekani wameathirika ubongo kwa mashambulio ya maroketi nchini Syria
Apr 16, 2023 03:23Baada ya muda kupita tangu vituo vya jeshi la Marekani viliposhambuliwa mashariki ya Syria, Kamandi Kuu ya jeshi la nchi hiyo (CENTCOM) imeripoti kuwa askari kadhaa wa jeshi hilo wameathirika ubongo kutokana na mashamulio hayo.
-
Yemen: Mabadilishano makubwa ya wafungwa yaleta matumaini ya kuhimitimisha vita
Apr 15, 2023 22:15Mabadilishano makubwa ya wafungwa kati ya pande zinazozozana nchini Yemen yanaendelea, ambayo yanaonekana kama sehemu ya juhudi za kumaliza vita vya Yemen vilivyodumu kwa zaidi ya miaka minane sasa.