-
Saudia yapiga marufuku kutangaza Swala za mwezi wa Ramadhani katika vyombo vya habari
Mar 05, 2023 23:01Wizara ya Masuala ya Kiislamu ya Saudi Arabia imepiga marufuku utangazaji wa ibada ya Swala za mwezi mtukufu wa Ramadhani kwenye vyombo vya habari vya nchi hiyo.
-
Mash'al: Kuanzisha uhusiano na Israel umeisababishia Palestina dhiki
Mar 05, 2023 07:28Kiongozi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) nje ya nchi ameyakosoa baadhi ya madola ya Kiarabu kwa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel na kusisitiza kuwa, ushirikiano na utawala huo wa Kizayuni haujakuwa na matokeo mengine ghairi ya kuwasababishia Wapalestina dhiki na matatizo.
-
US yaendelea kuiba mafuta ya Syria licha ya kukumbwa na zilzala
Mar 05, 2023 07:19Marekani kwa kushirikiana na mamluki wa Kikurdi imeendelea kuiba mafuta ya Syria, wakati huu ambapo nchi hiyo ya Kiarabu inajaribu kujinasua kutoka kwenye misukosuko na changamoto zinazotokana na matetemeko ya ardhi yaliyoua maelfu ya watu nchini humo.
-
Afisa wa Haki za Binadamu UN: Hali katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu ni janga
Mar 05, 2023 04:40Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu ametoa tahadhari kutokana na wito wa waziri wa utawala wa Israel ambaye ametaka kuangamizwa kijiji kizima cha Wapalestina.
-
Ziyad al-Nakhalah: Wapalestina hawataruhusu mipango ya Wazayuni Palestina itekelezwe kivitendo
Mar 05, 2023 00:28Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema kuwa, wapiganaji shupavu wa Paalestina katu hawataruhusu mipango michafu ya Wazayuni huko Palestina itekelezwe kivitendo.
-
Afisa wa Yemen: Madai ya Uingereza kukamata silaha za Iran ni upuuzi mtupu
Mar 04, 2023 07:51Naibu Waziri wa Habari wa Yemen, Fahmi al-Yousefi amepuuzilia mbali madai ya jeshi la wanamaji la Uingereza kuhusu eti kukamatwa boti iliyokuwa inasafirisha silaha za Iran katika pwani ya Ghuba ya Oman na kuyataja kuwa ya kipuuzi.
-
Majibu ya nchi 3 za Kiarabu kwa msimamo hatari wa waziri Mzayuni
Mar 04, 2023 03:48Nchi tatu za Kiarabu zimejibu matamshi hatari ya waziri Mzayuni kuhusu kuharibiwa kwa kijiji cha Wapalestina cha Hawwarah.
-
UN yalaani matamshi ya waziri wa Israel aliyetaka "kufutwa" kitongoji cha Huwara huko Palestina
Mar 03, 2023 23:26Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Stephane Dujarric, amelaani matamshi ya kibaguzi na kiichochoze yaliyotolewa na Waziri wa Fedha wa Israel akitaka kufutwa kabisa kitongoji cha Huwara cha Wapalestina katika uso wa dunia.
-
Ben Gvir atoa amri ya Wazayuni wenzake kupigwa risasi
Mar 03, 2023 23:19Itamar Ben Gvir, kiongozi wa chama cha Mayahudi wenye misimamo mikali ambaye pia ni Waziri wa Usalama wa Ndani katika baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu, tangu apewe nafasi hiyo amekuwa akiwapa silaha walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuwachochea wawaue kiholela Wapalestina wasio na hatia.
-
Ukandamizaji mkubwa wa wapinzani watanda maeneo tofauti ya 'Israel'
Mar 03, 2023 06:40Wapinzani wa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wamekandamizwa vikali na polisi wa Israel wakati wa maandamano yao makubwa ya leo Ijumaa.