-
UNICEF: Watoto milioni 3.7 walioathirika na zilzala Syria wana hali mbaya
Mar 03, 2023 04:15Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF amesema, watoto milioni 3.7 ambao walinusurika na matetemeko ya ardhi ya tarehe 6 Februari mwaka huu katika maeneo yaliyoathirika nchini Syria wanakabiliwa na ongezeko la vitisho kadhaa vya zahma kubwa.
-
Kuongezeka malumbano kati ya serikali ya Netanyahu yenye msimamo mikali na jeshi la Kizayuni
Mar 02, 2023 23:10Mamia ya maafisa wa kitengo cha kijasusi cha Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wameonya kwamba hawatahudumu tena jeshini iwapo mpango wa kurekebisha sheria ya mahakama katika utawala huo utaidhinishwa.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Qatar: Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel sio suluhisho la matatizo
Mar 02, 2023 08:57Waziri Mkuu wa zamani wa Qatar amesema kuwa, kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel sio suluhisho la matatizo na kuonyesha kusikitishwa kwake na hatua ya baadhi ya mataifa ya Kiarabu ya kuanzisha uhusiano na uutawala huo ghasibu.
-
Kuibuka mifarakano miongoni mwa wanajeshi wa Kizayuni
Mar 02, 2023 04:37Kikosi kamili cha makomando watajika wa jeshi la Anga la Israel kwa jina la " Sheldag" kimetangaza kuwa hakipo tayari kutekeleza majukumu yake ya kijeshi.
-
Katibu Mkuu wa UN atembelea Iraq
Mar 02, 2023 01:10Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres Jumatano ameanza ziara nchini Iraq lengo likiwa ni kusisitiza mshikamano na kuunga mkono juhudu za nchi za kuleta amani, haki za binadamu na maendeleo endelevu.
-
Bin Salman sasa ataka majaji 10 wa Saudi Arabia waliokuwa 'wapambe' wake wanyongwe
Feb 28, 2023 22:52Shirika la kutetea haki za binadamu la Demokrasia Sasa kwa Ulimwengu wa Waarabu, DAWN (Democracy for the Arab World Now) limefichua katika ripoti yake kwamba mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman ametaka washtakiwe na kuhukumiwa kunyongwa majaji kumi, ambao ni wapambe wake waliotoa kwa amri yake hukumu za kunyongwa raia kadhaa wa nchi hiyo.
-
Jihadul-Islami ya Palestina: Kila risasi inayowalenga wanamapambano inawaongezea nguvu
Feb 28, 2023 22:51Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema, kila risasi inayofyatuliwa kuwalenga wanamapambano wa Palestina inawaongezea nguvu zaidi wanamapambano hao.
-
Sababu na umuhimu wa safari ya ujumbe wa Muungano wa Mabunge ya Kiarabu nchini Syria
Feb 28, 2023 07:20Baada ya kupita zaidi ya muongo mmoja, hatimaye Jumapili ya juzi ujumbe wa Muungano wa Mabunge wa Kiarabu uliwasili Damascus mji mkuu wa Syria ukiongozwa na Mohamed al-Halbousi, Spika wa Bunge la Iraq. Siku hiyo hiyo, ujumbe huo ulikutana na kufanya mazungumzo na Rais Bashar al-Assad wa nchi hiyo.
-
Mwakilishi wa Palestina UN: Wakati wa kukwepa adhabu Israeli umekwisha
Feb 28, 2023 04:04Balozi wa Kudumu wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, wakati wa Israel kukwepa adhabu umekwisha na kwamba maamuzi madhubuti na hatua za kivitendo zinapaswa kuchukuliwa ili kuuadhibu utawala huo ghasibu.
-
Mvutano usio na mfano wake katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu; sura halisi ya Israeli
Feb 27, 2023 22:51Makumi ya maelfu ya Wazayuni wamekuwa wakiandamana kupinga baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu katika miji ya Tel Aviv, Haifa, Modi'in na Beersheba kwa wiki ya nane mfululizo.